Bitoz: Namaliza mwaka vizuri !!!

Halafu nimekuja kugundua makapuku Forum ni sehemu pekee ambayo watu hawaoni soo kukumwagia likes za kutosha Sana
 
Halafu nimekuja kugundua makapuku Forum ni sehemu pekee ambayo watu hawaoni soo kukumwagia likes za kutosha Sana
Ile ilikuwa ni sehemu ya movement poromosha wakongwe list ya likes maana walizidi kelele oooh fulani anaongoza kwa likes mara sijui mini now tumewaziba midomo tumesafisha pori zima kasoro ving'ang'anizi wachache tu( Mchawi,Ngedere,Kichumvi na Ze Box) tena kwa gap la kufa mtu

 
Wakuu nafikiri mpo poa
Naona zimebaki siku chache tumalize mwaka
Dhumuni la uzi huu ni kutaka kuwashukuru wote walionipa sapoti hapa JF kuanzia January to December,kwangu huu ni mwaka super tofauti na 2015(mwaka niliojiunga)

Shukrani za pekee ziwaendee Jimena na Bailly5/Th Name ....hawa ndo maswahiba wangu wa mwanzo kabisa humu JF walinipokea kishikaji vilevile kwenye thread zangu nyingi walikuwa wachangiaji wakubwa na nikagundua swaga zetu zinafanana kuanzia timu tunazoshabikia hadi vituko vyetu, ndio maana nikashirikiana nao kuanzisha uzi uliokuja kuporomosha ufalme wa wakongwe chit chat wa Makapuku Forum.....nawashukuru sana

Pia namshukuru sana Mussolin5 ....Nimejifunza mengi kutoka kwa Mussolin( huwa namwita dikteta) jamaa alikuwa anaporomosha nondo zilizoshiba kupitia "Leo ktk Historia*" kwenye thread ya Makapuku jamaa kwa ishu za historia hana mpinzani

Makapuku wote kina Jonax(kikofa),QUIGLEY,Shululu(nasikia ni kaka ake Lulu) na wengine wengi (maanashindwa kuwataja wrote)......Japo QUIGLEY mwanzoni ruliluwa tunakwaruzana kinoma lakini jamaa ni mvumilivu sana na hadi leo tupo peace

Nawashukuru pia members wote hapa JF pia nawashukuru na haters maana najifunza mengi kupitia kwenu.....maana wapo waliokazana kunichallennge
Nawakubali wote japo kuna baadhi ya wakongwe ambao nimegeuka kuwa adui yao mkubwa sababu ya kuanzisha vuguvugu la Makapuku,lakini sijali sana maana siwezi kupendwa na wote

Nawashukuru wote
Merry X & Happy New Year
7aac1c30dbed70b5fd71a3f70bef59d3.jpg



The Bitoz
Pamoja sana
Peace and love
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom