Kivumishi Kielezi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 1,028
- 2,448
Sijui.Account yake inasoma Tsh ngapi?
Kwani DPP ameondolewa ama ameteuliwa kuwa Jaji?Huna akili. Wewe ni goigoi usiefuatilia masuala.Unaelewa kuwa kuna sheria ambayo inazuia DPP kuondolewa kwenye nafasi hiyo labda awe anaumwa na kushindwa majakumu yake au labda awe amefanya serious crime?
Huyo DPP ameondolewa kwa mujibu wa sheria hiyo?Wewe ni ngumbaru sawa na aliemuondoa DPP kwenye nafasi yake bila ya kuzingatia sheria.Tanzania karibia kila mtu ni goigoi kuanzia wananchi wa kawaida hadi viongozi wakubwa. What a shame!
View attachment 1783057View attachment 1783058
Kweli wewe ni Boswaro.Bwana Boswaro
Watu waliodaiwa fedha na Biswalo Mganga mwenyewe kwa maagizo kuwa wametumwa na Mwendazake wapo.Hii "Jamuhuri ya mitandao" ina vichekesho vingi sana na vya kusisimua.
Kelele ni nyingi sana kwenye Jamuhuri hii ya mitandao.
Mpaka sasa wamempachika DPP shutuma nyingi ikiwemo kubambikia watu kesi na kudhulumu fedha.
Sifahamu kama wanaoyasema hayo ni wahanga wa mkono wa DPP ama ni wafuasi tu wa Twitter na Facebook.
Lakini kwa vyovyote vile, naamini wengi wao ni wafuasi tu wa mitandaoni.
Humu mitandaoni kuna wajuaji wengi sana. Lakini bahati nzuri ni wajuaji wasiojua kitu.
Hata waliofeli fom foo, nao wanamuelekeza DPP jinsi ya kufungua mashtaka na kufanya kazi zake.
DPP ni ofisi yenye watu na mifumo ya uendeshaji wa mashtaka.
Kila faili la mashtaka ya jinai linalokuja mezani kwa DPP lina mlolongo mrefu kutoka TAKUKURU, POLISI, TISS na kwingineko.
Kazi ya DPP sio kuamka tu na kubambikiza watu kesi. Kuna prosecutorial process.
Hawa wajuaji wa mitandaoni wanaojivika ujuvi wasiokuwa nao ni genge tu la wafuasi wasiojitambua.
Katika miaka mitano, tumeshuhudia jinsi mafisadi yalivyobinywa na kushughulikiwa.
Wauza ngada, majangili, wakwepa kodi na wezi wa mali ya umma walinyooka kama rula.
Haya majizi kwa vyovyote vile yana wafuasi mitandaoni.
Sitarajii kuona majizi haya yakifurahia kazi njema ya DPP.
Vinginevyo watuambie, kibaya ni kipi hasa alichokifanya DPP.
Kama kushughulikia majizi ni "jambo baya" basi hewala. Na iwe hivyo!
Asante mkuu.Huna akili. Wewe ni goigoi usiefuatilia masuala.Unaelewa kuwa kuna sheria ambayo inazuia DPP kuondolewa kwenye nafasi hiyo labda awe anaumwa na kushindwa majakumu yake au labda awe amefanya serious crime?
Huyo DPP ameondolewa kwa mujibu wa sheria hiyo?Wewe ni ngumbaru sawa na aliemuondoa DPP kwenye nafasi yake bila ya kuzingatia sheria.Tanzania karibia kila mtu ni goigoi kuanzia wananchi wa kawaida hadi viongozi wakubwa. What a shame!
View attachment 1783057View attachment 1783058
Tutajuaje kama unayoyasema ni kweli au unadanganya tu?Mimi mwenyewe nina ndugu yangu anayekiri kumpa Biswalo hela zaidi ya zilizoripotiwa.
Huyu anatakiwa kushitakiwa kwa uhujumu uchumiAccount yake inasoma Tsh ngapi? Fanyeni uchunguzi.
OverWatu hawana shida na majukumu ya DPP,, bali wanashida na utendaji wake. Wanamtuhumu kwa kuwabambikia watu kesi.
Wanmtuhumu kujivika madaraka ya kupokea fine na kuziweka kwenye account yake kinyume cha sheria (Ufisadi).
Tuhuma hizi zipo mitandaoni wengi tumeziona, tungefurahi hizi tuhuma ungezijibu. Lakini ukituhumu wanaokutuhumu haikusafishi wewe, bali inaleta shaka zaidi kuwa pengine ni kweli uliyafanya haya.
Umesema "kinyume na sheria"?Wanmtuhumu kupokea fine na kuziweka kwenye account yake kinyume cha sheria..
Hata yeye amewahi kusema hadharani kwamba anauwezo wa kumpa kesi mtu yoyote na asifanywe kituYaani sijajua mantiki ya bandiko lako. Concept ni kuwa ofisi yake inahusika na yale ambayo rais samia alisema kuwa kuna ubambikizwaji wa kesi na akaagiza kesi hizo zifutwe.
Najua ni rahis kugundua kuwa DPP aliishindwa kufanya majukumu yake ipaswavyo mfano inshu ya Mmoja wa COVid 19 ambayo alimtoa usiku kuja kuapa bungeni asubuhi kinyume na sheria.
Kama tunahitaji Kiongozi anaefuta haki na sheria ni vema asiwe Biswalo kwa kuwa yeye anafuata maelezo toka juu.
Hiyo sheria niliyoweka hapo juu inasema kuwa mtu akishateuliwa kuwa DPP anatakiwa awe DPP mpaka siku ya kustaafu kwake. Sasa hivi Biswalo ni DPP?Kwani DPP ameondolewa ama ameteuliwa kuwa Jaji?
Weka sheria inayosema kuwa DPP hapaswi kuteuliwa kuwa Jaji.