Huyu si ndiye aliyepewa kavukavu na msikilizaji kutoka kusini mwa Tanzania katika kipindi cha tuongee asubuhi. Limuuliza maswali kama mwanasheria. Moja ya swali aliloulizwa ni wewe ulishawahi kugombea ubunge. Anataka kukwepa swali, jamaa akamuuliza jibu swali ndiyo au hapana. Akakubali, jamaa kamwongezea lingine uligombea kupitia chama gan? Hapa hakujibu, jamaa akampa kavu kavu kuwa ninakufahamu vizuri uligombea kwa tiketi ya CCM. Akamwambia usiseme wewe ni asikofu bali sema wewe ni mwanasiasa wa chama cha mapinduzi.
Huyu? Mbona huwa anashinda pale Lumumba, na kaoa mjukuu wa JK the 1st. Sijui uaskofu aliupata wapi. ila ana haiba ya utapeli, namfahamu. kule maeneo ya Ubungo alifukuzwa kwa sababu ya kodi ya nyumba. Huwa anaombaonba hele pale Lumumba.Askofu kanjanja,tapeli wa mjini huyu,na laghai kupitia dini!nani kampa uaskofu kwanza??njaa tupu
Huyu siyo askofu ni mwana CCM na alishawah ikugombea ubunge kwa tiketi ya CCM. Angalia posts#35 na #38njaa ni kitu kibaya sana, hasa inapopanda upstairs ....... mtu anajitoa akili ili aongee upumbavu, kama hakuna amani ya nchi atahubiri wapi hiyo Injili, ??
Huyu si ndiye aliyepewa kavukavu na msikilizaji kutoka kusini mwa Tanzania katika kipindi cha tuongee asubuhi. Limuuliza maswali kama mwanasheria. Moja ya swali aliloulizwa ni wewe ulishawahi kugombea ubunge. Anataka kukwepa swali, jamaa akamuuliza jibu swali ndiyo au hapana. Akakubali, jamaa kamwongezea lingine uligombea kupitia chama gan? Hapa hakujibu, jamaa akampa kavu kavu kuwa ninakufahamu vizuri uligombea kwa tiketi ya CCM. Akamwambia usiseme wewe ni asikofu bali sema wewe ni mwanasiasa wa chama cha mapinduzi.
Huyu siyo askofu ni mwana CCM na alishawah ikugombea ubunge kwa tiketi ya CCM. Angalia posts#35 na #38
Hapo labda kahongwa shilingi 200,000 tu aongee hizo pumba zake!
Kama si hivyo basi anatafuta umaarufu tu huyo!
Asante kushukuruNimesoma, nimeelewa, no further comments, fingers closed
Gwajima pona haraka kuna tapeli mwingine kaibuka anaungana na mr kubogoyo!
Askofu piusi erasto amefanya press conference leo habari maelezo akitoa msimamo wake kutofautiana na maaskofu kuhusu katiba Katiba ni nzuri anatoa uhuru wa kuabudu maaskofu katiba hii inaruhusu sisi kuhubiri injiri
Kwa mjiby wa Ibarra ya 41(1) katiba hii inaturusu maaskofu kuhubiri injiri bila kikwazo
Nasikitika wanaingilia waumini mambo ya ukomo wa ubunge madaraka ya uraisi hayatuhusu sisi. ....
Unakuta askofu mzima anaipinga katiba eti ni mbaya kisa haina ukomo wa wabunge ukimuuliza wewe askofu ukomo wako wa madaraka ya uaskofu ni lini atakuambia yeye ni askofu wa kudumu. ...kwa nini anaingilia ukomo wa nafasi za wengine wakati nafasi yake haina ukomo. ... maandiko yanesema usitoe kibanzi kwenye jicho la mwenzio wakati jicho lako lina borit....
Kuhusu madaraka ya raisi,mambo ya wakulima muundo wa muungano Askofu ikongo anasema waachiwe waumini ambao ni ukawa ni ccm na wasio na chama
Sisi maaskofu tubebe neno la MUNGU katiba hii ni nzuri saana kwa sababu imeBEBA uhuru wa kutangaza dini jambo ambalo maaskofu tulipasa tulipongeze na kuinadi katiba. ...
![]()
Tamko la askofu La Piusi Ikongo
View attachment 239683
Picha ya askofu ikongo wa PENTEKOSTE PASTARS FELLOWSHIP
Mwenyekiti wa PPFT
Unaushahidi gani kuwa alizini naye?Jibu hoja mkuu mbna povu jingi sana,Gwajuma yule aliyemnyang'anya Mbasha mke au Gwajima yupi apone,huyo tyr ana dhambi ya kuzin na anaendelea
Huyo Mzaire mbona anafahamika kuwa ni kibaraka wa ccm siku nyingi sana.
Hebu msome hapa chini uone alikotokea kuishabikia katiba ya ccm.
huyu Padre kichwa sana,hawa Maasikofu mwishowe watatuambie tumpigie kura za uraisi ngani!!