Birthday ya Kikwete na maoni ya wananchi

Birthday ya Kikwete na maoni ya wananchi

Mshkaji katoa povu sio la kawaida. Atakua analala na maumivu sana. Bora huku jf, huko tiktok na onsta asiingie kabisa maana anaweza kufa kwa presha
Hahahaahaaa! Pole sana. Nina amani tele kwa taarifa Yako. Nikionacho, mnaopata tabu ni nyie haters wake maana mnaumizwa Kila dakika na ustawi wake. Mtaendelea kukabiliwa na maumizu Hadi mtakapopata akili na kuukubali ukweli. Huko insta na TikTok wasemaji si ni nyie tu.....walewale mnajibishana wenyewe tu. Hata ingekuwa haters 2m, Bado ni idadi ndogo mnoooo kuwazidi tuliobaki tunaomtakia mema. Poleni sana
 
Hivi tumefikaje hapa, alikuepo mkapa, Mwinyi, Nyerere na sio kwamba walikua hawana mapungufu, ila hii chuki kwa mzee kikwete inatisha sana,

Mzee nimshauri kujitokeza may be na kuwaomba msamaa watatz kwamba pale watz wanahisi amewakosea yaishe na tuanze upya .

Mzee nimuombe sasa kuwa upande wa wananchi ,hii kiukweli sio afya kwa Mzee wetu na taifa kwa ujumla
 
Mwishoni wa wakati wa uongozi wake hali ilikuwa mbaya sana kama hivi leo. Ufisadi ulikithiri wote mnakumba zile kashfa kubwa kubwa kama Escrows, Dowans, madawa ya kulevya kujaa mitaani, Lowassa kujiuzulu, Rostam kujiuzulu, kwa kashfa nk.

CCM Ilikuwa inaenda kufa, Kikwete amerudi kwa mlango wa nyuma na mambo yamerudi vilevile.
 
Mi ni kapuku tu kama wewe, utofauti wetu tu ni kuwa wewe umekuwa possessed na mashetani wakati Mimi Niko na akili huru......no wivu, no chuki, no fitina.

Mimi sio kapuku kama wewe, I live above the evarage. Tatizo lako unajiweka mbele kama kinembe wakati watu wanakuwa critical kwa rais mstaafu. Wewe ni nani uingilie kati na utwambie kuhusu Kikwete wakati alikuwa rais wetu kwa miaka 10? Unasema jealous, nikuulize tu, are you real for this?
 
Yaani wewe ni mpumbavu kweli kweli, Bora ungekaa kimya tusingejua kiwango chako kikubwa hivi Cha upumbavu. Hivi hata unajua maana ya neno 'critical'?!!! Kupiga makelele tu na matusi kwa mtu bila maelezo ya maana na ya yasiyo na shaka huko ndo kuwa critical we kubwa jinga?!!🤣🤣🤣
Alikuwa Raisi wenu nyie haters tu peke yenu Hadi unizuie Mimi kuzungumzia kwa mazuri?!! Kama mna haki ya kumtukana basi nasi pia tuna haki ya kumzungumza kwa mazuri. We kapuku, hakuna mtu mwenye mipango yake thabiti atakuwa anaongeaongea ujinga kama huu......walioendelea na kuelimika huwa hawapo hivi.

Kwa Hali hii, tusiokuwa watumwa wa wake wa ubelgiji tutaendelea kuwa mbele kama kinembe chako hicho kama ulivyosema......kuisemea na kuitetea kweli.
 
20251009_104851.jpg
 
Wewe endelea kuuguza manesi tu, lakini usije hapa kutwambia kitu chochote kuhusu Kikwete, jamaa sijui ana IQ ngapi! Kuna speech alitoa na kusema, wazungu wana pesa nyingi ukiongea nao vizuri wanakusaidia. Is that the type of your president? Sasa hapo nani mtumwa wa wabelgiji? Dude done insane wrong to this country. Unajua UAE wana safari park yenye wanyama wa kutoka Tanzania? Kama mjomba ameuza receipt iko wapi? Mbumbumbu wewe
 
Inaweza isiwe hiyo october 29, ila maandamano makubwa yatatokea kabla ya 2030.

Majuzikati mwendokasi zilibondwa, jana kuna boda walifunga barabara magomeni kisa askari alichomoa funguo ya boda mwenzao. Foleni kama yote, mwisho wa siku funguo ikarudishwa.

Watu wameshaona kufanya maandamano ya namna yoyote wanapata wanachotaka.

Wanasiasa hasa ngazi za juu waache kujilimbikizia mali, from top to bottom watu wanajipigia tu.
 
......!! Hasira nilionayoo bora nikae kimya.....! Familia JK na RA inastahili........woite tena muda tuuu utasemaa
 
Wewe endelea kuuguza manesi tu, lakini usije hapa kutwambia kitu chochote kuhusu Kikwete, jamaa sijui ana IQ ngapi! Kuna speech alitoa na kusema, wazungu wana pesa nyingi ukiongea nao vizuri wanakusaidia. Is that the type of your president? Sasa hapo nani mtumwa wa wabelgiji? Dude done insane wrong to this country. Unajua UAE wana safari park yenye wanyama wa kutoka Tanzania? Kama mjomba ameuza receipt iko wapi? Mbumbumbu wewe
Huna akili na unaongozwa na mihemko.
 
Huna akili na unaongozwa na mihemko.

Nah bro! Mimi niko poa down to earth. Kitu nimegundua ni kwamba, you went to school but you're not educated like majority of Tanzanian brothers. Hujui kinachoendelea, unaishi kukariri tu kwasababu you're not conscious enough to understand what's up. Kwa kifupi wewe ni mbumbumbu na mko wengi sana ndio maana safari ya maendeleo Africa ni ngumu. Worshipping Kikwete, Samia or Lissu isn't my thing because I know all of them are puppets, but stupid like you kissing ass of the politicians and telling us what to say or not say on JF. Mbuzi kabisa wewe
 
Nah bro! Mimi niko poa down to earth. Kitu nimegundua ni kwamba, you went to school but you're not educated like majority of Tanzanian brothers. Hujui kinachoendelea, unaishi kukariri tu kwasababu you're not conscious enough to understand what's up. Kwa kifupi wewe ni mbumbumbu
Kama wewe ndiyo mfano Bora wa mtu aliyeenda shule, basi nashukuru mara 100 kwa kutoenda huko shule maana kuishia kwenye miserable life kama Yako hapana aisee.
 
Back
Top Bottom