Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,941
- 9,947
Mods hawajaona uandishi huu wa ajabu? Nimeona nikashangaa nikadhani uzi umeandikwa na Mgiriki anayejifunza Kiswahili.Happybeth _happy birthday
Aliyouzulia_aliyohudhuria
Kurisishwa_kurithishwa
Kwa uandishi huu bora ufe hata leo
Mods, quality control and assurance ni muhimu sana kwa ajili ya mustakabali wa JF na heshima yake.