Birthday aliyohudhuria Kagame yawafungua Waganda macho, ni maandalizi ya mtu kurithishwa urais na sio vinginevyo

Happybeth _happy birthday
Aliyouzulia_aliyohudhuria
Kurisishwa_kurithishwa

Kwa uandishi huu bora ufe hata leo
Mods hawajaona uandishi huu wa ajabu? Nimeona nikashangaa nikadhani uzi umeandikwa na Mgiriki anayejifunza Kiswahili.
Mods, quality control and assurance ni muhimu sana kwa ajili ya mustakabali wa JF na heshima yake.
 
Hata hapa kwetu imeshatokea na hakuna tulilowafanya hao watawala zaidi ya kuwachekea tu na kuwapigia kura.

Karume - karume jnr.

Mwinyi - Mwinyi Jr.
 
Hapana Sio ya kipuuzi!
Unajua,uandishi unaweza kusababisha kushindwa kujua kama hoja ni ya muhimu ama la!
Isitoshe naamini hili ni jukwaa la wasomi na watu wenye fikra makini.
Makosa ya uandishi au matamshi huweza kupunguza nguvu ya hoja!
Anacho takiwa kujua ni kwamba hili ni jukwaa la wasomi, tena la Great thinkers, asiye jua kuandika kwa ufasaha ama Kiswahili au Kiingereza basi ajue hapa siyo mahali sahihi kwake.
 
Ukiachana na kwamba Muhuzi anamkubali PK, najiuliza kwann birthday party yake ilihudhuriwa na wa rwanda wengi ?
 
Tusubirie kudondoka kwa Uganda na familia ya mseveni mwenyewe na kuinuka kwa utawala mpya wa wananchi
 
Hima empire inavoitawala East Africa jinsi inavyotaka. Bantu people emu tuamke hawa jamaa wanaleta mambo ya kizayuni kwamba wao ndo wateule.
 
Muache awe tu tunacho tamani sie wana EA ni peace and prosperity Watanzania kwa unafiki hamjambo!!! Hussein Mwinyi mbona hamsemi?? Makongoro Nyerere Mlevi anapachikwa kila anapo jisikia kufanyiwa ivo?? ....Bush jr! je...ni hayo hayo!

ok Muanze Malikia Elizabeth Chaaaz anaandaliwa cha ajabu nini asiwe Muhozi kainerugaba?? ila mnaiona Uganda tu! Israel bila kuwa MU Ashakenaz jew!! hupati Madaraka!...tatizo Mseven ndo mwenye damu ya kunguni!!
 
Mods hawajaona uandishi huu wa ajabu? Nimeona nikashangaa nikadhani uzi umeandikwa na Mgiriki anayejifunza Kiswahili.
Mods, quality control and assurance ni muhimu sana kwa ajili ya mustakabali wa JF na heshima yake.
Bongo michawi haita isha kina jiwe wengine ndo nyie....
 
birthday party yake ilihudhuriwa na wa rwanda wengi ?
Jinga kabisa usitugawe sisi ni wana EA......mbona kwa kikwete walihudhuria wakwere wengi???.......huyu Jokate si Mtusi yule mbona ni mkuu wa wilaya
 
Jinga kabisa usitugawe sisi ni wana EA......mbona kwa kikwete walihudhuria wakwere wengi???.......huyu Jokate si Mtusi yule mbona ni mkuu wa wilaya
Jinga kabisaaa ww, Jokate ni mmatengo toka Mbinga.....shwaini kabisaaaa
 
Back
Top Bottom