Huyu ni pagani Mkuu, I am just joking [emoji12]
Mimi nitaenda tu hata kama anasalia kwa freemason nimeanza kumuelewa Karucee
Sent using Jamii Forums mobile app
Yuko vizuri sana Karucee ila namiss thread zake alizokuwa akianzisha hapa jamvini.
Usipende kuhusisha kitu kwa mtu usiyemfahamu na epuka generalization.Nyie wanawake.
Hapana hata sikujui
[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nitaenda tu hata kama anasalia kwa freemason nimeanza kumuelewa Karucee
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole aisee.Mimi nitaenda tu hata kama anasalia kwa freemason nimeanza kumuelewa Karucee
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya hivyo aisee!Soon buddy, soon.
Kwanza umeshamgegeda?,kaka bado mgegede kwanza atalegeza mashartHabari zenu wadau mimi ni kijana wakiume nimetokea kupenda binti wakilokole lakini yeye kanipa masharti lazima niokoke kwenye kanisa lao la kilokole ndiyo atakubali.
Sent using Jamii Forums mobile app
huyo pia hajielewi kwa hiyo ukiokoka ndio muanze uzinzi..angesema uokoke mfunge ndoa sawa ila hivyo du ..anatia mashakaYeye ameweka mgomo baridi nisimuite babe, wala nisimguse mbaka niokoke ndo ataniluhusu kumgusa ninapotaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini ujue waimba kwaya wenzie/waumini wenzie labda wanamfunua kiholela holela tu hata hana mashartiYeye ameweka mgomo baridi nisimuite babe, wala nisimguse mbaka niokoke ndo ataniluhusu kumgusa ninapotaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie kina nani? Unanijua mimi??
Mie nimeongelea hilo sharti alilopewa. Sio hayo unayoyasema wewe
Fanya hivyo aisee!
Wengine tupo na wewe toka 2012 kipindi hicho mgeni mgeni kabisa!
Si mtu anaongea kama anakujua vile ulivyo
Hahaha!Hahaa. Ila kiukweli username yako inanitatiza.
Lazima umebadilisha.
Si mtu anaongea kama anakujua vile ulivyo
Anifahamu wapi mie. Naona unaendelea na harakati za pimbi
Anifahamu wapi mie. Naona unaendelea na harakati za pimbi