Binti wakilokole anilazimisha niokoke

Binti wakilokole anilazimisha niokoke

Umaokoka kisa papuchi huko ni kuokoka au ni kuigiza. Acha kutania imani. Kama unaokoka okoka kweli alafu mtangaze uchumba kabisa kanisan na umuoe

Fanya kazi kwa bidii
 
Habar zenu wadau Mimi nikijana wakiume nimetokea kupenda binti wakilokole lakin yeye kanipa masharti lazima niokoke kwenye kanisa lao lakilokole ndiyo atakubal kunivuli pichu

Sent using Jamii Forums mobile app
Tena huyo anakupenda sana anataka uache uovu
Unajua ukiamua kuokoka atleast baadhi ya dhambi unaacha?
 
Sababu hakupend anataka ukaongeze idadi ya waumini kanisani kwao. Mtu anayekupenda hawez kukuwekea masharti hayo
Uongo.mbona nyie mnaweka mashariti awe na uwezi wa kutimiza majukumu sijui awe na kipato.
 
Nyie kina nani? Unanijua mimi??

Mie nimeongelea hilo sharti alilopewa. Sio hayo unayoyasema wewe
Nimemaanisha kila mtu ana kigezo chake.inawezekana kwako issue ya kuokoka haileti mashiko na kuna vigezo vyako kwake vikawa havina maana.
 
Back
Top Bottom