Nizingatie nini na kwenda kuonana na ndugu wa binti wa kimeru

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Habari ndugu zangu..

Mimi kijana wenu sipingi ndoa maana ndoa kwangu ni baraka, hivyo nimekusudia kwa akili zangu timamu kuoa.

Siku kadhaa nilileta kwenu huu uzi kuomba ushauri wa hali na mali napia nashukuruni sana ndugu zangu kwa kunishauri kijana wenu.

""( Nataka kumuoa huyu binti ila tabia zake zinatetemesha)""

Kiukweli kwa upande wangu binti nimemuelewa sana na yeye amenielewa sana na pia anajielewa vizuri tuu , tatizo lipo kwenye mawasiliano baina yangu na yeye. Kwani siku zote mimi ndiyo mwanzilishi wa mawasiliano tofauti na hapo hakuna kitu

Kutokana na tabia zake njema na kujisitiri kwake nimefikiria kumuoa ila swala la changamoto ya mawasiliano naona labda ni kwa vile nimempita sana umri kwa takribani miaka kumi (10) ndiyo maana anashindwa kujua cha kuongea na mimi sipati majibu kabisa.

Mtoto nimemuelewa nataka niende nikapeleleze kwao ana kwa ana, mguu kwa mguu kijanja kijanja maana nimekua ni mtu wa kukutana tuu njiani na ndugu zake hivyo nataka niende kwao huko Arumeru niombeeni nifike na kurudi salama kijana wenu.

Naenda kama envoy na pia nita act kama spay chapu kwa chapu. nafikiria kwenda mwenyewe ila document zangu muhimu nitazibeba ili kujilinda likitokea lolote lile maana maboma ya watu siku hizi haya aminiki kabisa kabisa.

Pia binti nime muambia aniwekee security ya kutosha kama ikitokea tafarani .

Wakuu na ndugu zangu naombeni kujua ni nini kingine cha maana cha kuzingatia ndugu zangu ili hali naenda mwenyewe huko kwao Arumeru kupeleleza kwa kuzingatia wameru ni wakorofi sana hasa kaka zao?

Mimi binti yao nimemuelewa sana nataka nimuweke ndani na awe mke wangu halali. Shida ya mawasiliano baina yangu na yeye nataka kuikata kijeshi namna hiyo .

Natanguliza shukrani zenu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Nianze na hapo kwenye security, Mwanamke hawezi kukupa security na hayupo kwaajili hiyo. Hivyo usimpe majukumu yasiyomhusu.

Pili, Weka mawasiliano yenu Sawa Kwanza ndipo hatua zingine zifuate. Mawasiliano ndio yatakufanya umjue huyu Binti vizuri kuwa mtawezana au vipi.
Mawasiliano ndio yatakuambia kuwa mnahitajiana au wewe ndio unayemhitaji.

Unapomchunguza Mpenzi wako hakikisha Upendo na hisia zinakuwa mbali ili upate majibu sahihi. Vinginevyo ukiendekeza kuwa unampenda utaishia Kupata taarifa za kujidanganya.

Binti kama unamtafuta wewe tuu au mara Kwa mara ilhali yeye hakutafuti tafsiri yake wewe ndiye unampenda Sana kuliko yeye anavyokupenda,
Kwa upande wangu ningejipa kazi ya kuufanya moyo wake unigeukie Mimi mpaka yeye ndio awe ananitafuta zaidi kuliko Mimi ninavyomtafuta.
 
Kijana runakuthamini sana hatutaki uingie kwenye matatizo.

Kwenye huu Uzi wako ulioandika siku tatu zilizopita umeandika mwenyewe kuwa huyo mwaamke wa kimeru ni mtata sana.

Nakuomba achana na huyo mwanamke ninaona unachokwenda kukutana nacho. Utaishia jela kwasababu wewe mwenyewe umesema Huna akili.

Fikiria Kwa makini. Najua utaniona mbaya ila utakuja kuukumbuka huu ushauri

1. Wameru hawapendi unafiki ukisema ndio iwe ndio hapana iwe hapana
2. Hawapendi mtu msanii ( mtu muongo muongo)
3. Wanawake wa kimeru ni wife material mfano mzuri Nancy Sumari
 
Kwenye mawasiliano tena haeleweki? Umemzidi 10 years? Mmeru? Siongezi neno tena.

Mie kuoa mmeru? Labda awe kafa na keshazikwa ndo nitakuwa na amani ya kuoa.

Awe hai, na Kaka na wajomba zake, na Baba wadodo? Kweli sio, nimeishi na kukaa nao sana.
 
1. Wameru hawapendi unafiki ukisema ndio iwe ndio hapana iwe hapana
2. Hawapendi mtu msanii ( mtu muongo muongo)
3. Wanawake wa kimeru ni wife material mfano mzuri Nancy Sumari
Laiti watu wangeisoma hii post.

Wameru wana mapungufu yao mengi but ukioa umeoa.

Wanajua kupenda sana.
Ni walezi wazuri wa familia
Ni wavumilivu sana.

.....usithubutu kuwasaliti......itakula kwako
 
Habari ndugu zangu..

Mimi kijana wenu sipingi ndoa maana ndoa kwangu ni baraka, hivyo nimekusudia kwa akili zangu timamu kuoa.

Siku kadhaa nilileta kwenu huu uzi kuomba ushauri wa hali na mali napia nashukuruni sana ndugu zangu kwa kunishauri kijana wenu.

""( Nataka kumuoa huyu binti ila tabia zake zinatetemesha)""

Kiukweli kwa upande wangu binti nimemuelewa sana na yeye amenielewa sana na pia anajielewa vizuri tuu , tatizo lipo kwenye mawasiliano baina yangu na yeye. Kwani siku zote mimi ndiyo mwanzilishi wa mawasiliano tofauti na hapo hakuna kitu

Kutokana na tabia zake njema na kujisitiri kwake nimefikiria kumuoa ila swala la changamoto ya mawasiliano naona labda ni kwa vile nimempita sana umri kwa takribani miaka kumi (10) ndiyo maana anashindwa kujua cha kuongea na mimi sipati majibu kabisa.

Mtoto nimemuelewa nataka niende nikapeleleze kwao ana kwa ana, mguu kwa mguu kijanja kijanja maana nimekua ni mtu wa kukutana tuu njiani na ndugu zake hivyo nataka niende kwao huko Arumeru niombeeni nifike na kurudi salama kijana wenu.

Naenda kama envoy na pia nita act kama spay chapu kwa chapu. nafikiria kwenda mwenyewe ila document zangu muhimu nitazibeba ili kujilinda likitokea lolote lile maana maboma ya watu siku hizi haya aminiki kabisa kabisa.

Pia binti nime muambia aniwekee security ya kutosha kama ikitokea tafarani .

Wakuu na ndugu zangu naombeni kujua ni nini kingine cha maana cha kuzingatia ndugu zangu ili hali naenda mwenyewe huko kwao Arumeru kupeleleza kwa kuzingatia wameru ni wakorofi sana hasa kaka zao?

Mimi binti yao nimemuelewa sana nataka nimuweke ndani na awe mke wangu halali. Shida ya mawasiliano baina yangu na yeye nataka kuikata kijeshi namna hiyo .

Natanguliza shukrani zenu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app

Mhubiri 4:9-12 BHN​

Ni afadhali kuwa wawili kuliko mtu kuwa peke yake. Kwa sababu wawili watapata tuzo la kazi yao. Ikijatokea mmoja akaanguka, huyo mwenzake atamwinua. Lakini ole wake aliye peke yake akianguka! Huyo hatakuwa na mtu wa kumwinua! Hali kadhalika, wawili wakilala pamoja watapata joto; lakini mtu akiwa peke yake atajipatiaje joto? Mtu akiwa peke yake aweza kushindwa na adui, lakini wakiwa wawili watamkabili na kumshinda adui. Kamba tatu zikisokotwa pamoja hazikatiki kwa urahisi.
BHN: Biblia Habari Njema
Shirikisha
https://www.bible.com/sw/bible/74/ECC.4.BHN
oa mkuu ,muhimu roho iamue
 
Nianze na hapo kwenye security, Mwanamke hawezi kukupa security na hayupo kwaajili hiyo. Hivyo usimpe majukumu yasiyomhusu.

Pili, Weka mawasiliano yenu Sawa Kwanza ndipo hatua zingine zifuate. Mawasiliano ndio yatakufanya umjue huyu Binti vizuri kuwa mtawezana au vipi.
Mawasiliano ndio yatakuambia kuwa mnahitajiana au wewe ndio unayemhitaji.

Unapomchunguza Mpenzi wako hakikisha Upendo na hisia zinakuwa mbali ili upate majibu sahihi. Vinginevyo ukiendekeza kuwa unampenda utaishia Kupata taarifa za kujidanganya.

Binti kama unamtafuta wewe tuu au mara Kwa mara ilhali yeye hakutafuti tafsiri yake wewe ndiye unampenda Sana kuliko yeye anavyokupenda,
Kwa upande wangu ningejipa kazi ya kuufanya moyo wake unigeukie Mimi mpaka yeye ndio awe ananitafuta zaidi kuliko Mimi ninavyomtafuta.
Sawa mkuu nashukuru

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kijana runakuthamini sana hatutaki uingie kwenye matatizo.

Kwenye huu Uzi wako ulioandika siku tatu zilizopita umeandika mwenyewe kuwa huyo mwaamke wa kimeru ni mtata sana.

Nakuomba achana na huyo mwanamke ninaona unachokwenda kukutana nacho. Utaishia jela kwasababu wewe mwenyewe umesema Huna akili.

Fikiria Kwa makini. Najua utaniona mbaya ila utakuja kuukumbuka huu ushauri

Sawa mkuu.. acha niendelee kufikiria ndugu yangu

Back
Top Bottom