Binti wakilokole anilazimisha niokoke

Binti wakilokole anilazimisha niokoke

Utakuwa hujaokoka kutoka moyoni bali umeokoka ili kutimiza haja zako.
 
Ila wanaume Mungu anawaona.

Si kazi 'ushaokoka' siku nyingi ukamkula na ukasahau.

Sasa hapa unatutesti tu ujue walio fanya michezo hiyo ya kuokoka ni wangapi huenda ka moyo kanakusuta unatafuta comfort kwa wenzio kina Nokia83
 
Sijaikana imani yangu ndiyo maana nipo ngangar sijamfata kwenye imani yake, navilevile mapenz ayana imani

Sent using Jamii Forums mobile app
kama hayana imani basi fanya kumfuata, ila kufuata kitu kwa ajir ya kupata kitu, hicho kitu kikija kukosekana ama mwenye hicho kitu kukuumiza, utakuja kuchukia hadi na wote walio ktk hiyo iman..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila wanaume Mungu anawaona.

Si kazi 'ushaokoka' siku nyingi ukamkula na ukasahau.

Sasa hapa unatutesti tu ujue walio fanya michezo hiyo ya kuokoka ni wangapi huenda ka moyo kanakusuta unatafuta comfort kwa wenzio kina Nokia83

Usikute hata mimi nawewe tumeshakutana kwny makanisa ya kiroho huko,tumekanyaga mafuta,tumekula apples.

Mara ya mwisho nimeokoka kwa Richmond [emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usikute hata mimi nawewe tumeshakutana kwny makanisa ya kiroho huko,tumekanyaga mafuta,tumekula apples.

Mara ya mwisho nimeokoka kwa Richmond [emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilijichanganya mwanzo aliponiuliza Nasali kanisan gani, nasikuju yeye kama kaokoka anampenda nikataja kanisa tofaut na yeye analo sali, kimbembe kikaanzia apo nikatakiwa niokoke maramoja natuwe tunaenda kanisan pamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaonesha hutaki cha uvunguni mkuu, ila siku ukikihitaji zaidi utainama.
 
Back
Top Bottom