Kwapointi hiyo ni ngumu kukubalia bila kuokoka mkuu, anaogopa kuwachafua wazazi wake ambao ni wachungaji.Yeye ameniambia baba yake ni mchugani na mama mchungaji wana kanisa lao
Sent using Jamii Forums mobile app
Mafisi[emoji134][emoji134][emoji134]
Ametumia jicho la kiroho zaidiSi mtu anaongea kama anakujua vile ulivyo
Nilijua ukimuoa atakiruhusu umguse unapotaka kumbe ukiokoka???yaani kuokoka tu unapewa papuchi!?? Hakuna wokovu hapo muhuni huyoYeye ameweka mgomo baridi nisimuite babe, wala nisimguse mbaka niokoke ndo ataniluhusu kumgusa ninapotaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ushauri wako umeutoa ukiwa unafanya nini vile..Okoka akishakuvulia una un-okoka
Nikiwa nakunywa balimi
Ok.naona unechukulia serious!Usipende kuhusisha kitu kwa mtu usiyemfahamu na epuka generalization.
[emoji2]Teh! Mbele ya mzigo, hata ukiambiwa uwe monk utakuwa tu. Ilimradi upate unachokitaka
Kwani kuokoka ni bei gani?Habari zenu wadau mimi ni kijana wakiume nimetokea kupenda binti wakilokole lakini yeye kanipa masharti lazima niokoke kwenye kanisa lao la kilokole ndiyo atakubali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni wa kuoa achana nae kama ni wa papupapuchi guarantee nenda mbele mkuuHabari zenu wadau mimi ni kijana wakiume nimetokea kupenda binti wakilokole lakini yeye kanipa masharti lazima niokoke kwenye kanisa lao la kilokole ndiyo atakubali.
Sent using Jamii Forums mobile app