Tonny Kapola Gas Station
JF-Expert Member
- Aug 14, 2025
- 558
- 1,717
Afadhali umeghairi kujiua. Kimalkia kilichonyooka kama hiki tungekipata wapi? Sasa kingekuwa kinatafunwa na funza tu dah!
Maisha yangu yalipo nikama yamenikalia. Nimesoma ila masomo hayajanisaidia.nina maden kibao atamengin sijalipa.
Na tena mimi tuh ndio mtoto wa pekee kwetu nyumbani.baba na mama wote waniangalia. kiujumla nmechoka ata sion faida ya kuishi bora niendee zangu kaburin nikapumzike.
Maisha kwang ni machung sio matamu.saiv nafikiria ni mbinu gani ntakayo tumia nifike ahera mapema.

- Chadema 2030
- Replies: 218
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko