Binti wa zaman she is so amazing?

Binti wa zaman she is so amazing?

Babu yangu akipata kunisimulia mambo mengi ya mzee Nyerere ila nilipokuwa mkubwa nikajua wazee wa zamani si wakuamini sana .

Alikuwa na picha kadha wa kadha na baba wa taifa ila hiyo picha moja usipoaga kuwa unaondoka basi mtamaliza siku nzima kibarazani anakupa matukio hata mia ya hiyo picha .
Halafu picha zenyewe ni zile nyeusi 😂.

Ninachowaoendea wazee wa zamani ni kwamba wakianza kukuhadithia huwa wanakwenda kwa mtiririko na wanakumbumbu sana.

Siyo kama vijana wa siku hizi, ambao wakikuoa story wewe ndiy unaanza kuunganisha ili kujua kipi kilianza na kipi kilifuata.
 
She makes the forum to be on good mood.Her love stories are perfect and amazing.I am always bored when his not around.I like thread she normally posting on the forum.
Seleina, umesoma mpaka kidato cha ngapi? na unafanya shughuli gani?

giphy.gif
 
Back
Top Bottom