Ukiwa unaomba kazi jitahidi kueleza sifa zako kielimu au uzoefu, usiweke maombi katika mlenga wa kutaka kuonewa huruma., taarifa kama za kufariki kwa baba hazina umuhimu kwa muajiri. Nakutakia kila heri mdogo angu naamini humu waajiri wapo watakushika mkono.