Binti wa kihindi ananitesa...

Yaani we bazazi kweli, unaelekeza mwanamme mwenzio mgodi wako ulipo?
Huwezi mpata huyo mchuchu kwa uelewa huu

Hahahahahahah,

Hawa vijana wa siku hizi hata sijui wako....

Umenikumbusha enzi zile, ....kulikuwa na dogo anaiba pesa kwao na kuwapa washikaji wamsaidie kutongoza...Mwisho wa siku aligundua pesa zake zinawasaidia washikaji kujisevia!!

Babu DC!!
 
Nenda tena jifanye unanunua kitu tena, kama kweli alikuminya kwa kukupenda, atakuonyesha ishara nyingine. Kuwa makini na ndugu zake, kuna jamaa etu aliletewa noma kule Mbeya miaka ya nyuma lakn mwishowe alifanikiwa.
 
ha ha ha ...kemcho gazeti bhai..ulipaswa kujua kwanza yeye kabila gani..unatokea upande upi wa india..kazi kweli kweli...swaga zao hutaziweza kaka. utaishia kumpeleka kwenye movies/tandoori :juggle:
 
Yaani we bazazi kweli, unaelekeza mwanamme mwenzio mgodi wako ulipo?
Huwezi mpata huyo mchuchu kwa uelewa huu
Thubutuuu eneo hilo kuna maduka ya wahindi karibu 100
ye kataka kujua eneo tu mwache tena akienda kichwakichwa
anavamia mchina!
 
Hebu nenda kadelete hiyo post haraka.
Unatutia maajaribuni wajasiriamali

Thubutuuu eneo hilo kuna maduka ya wahindi karibu 100
ye kataka kujua eneo tu mwache tena akienda kichwakichwa
anavamia mchina!
 
Hahahahahahah,

Hawa vijana wa siku hizi hata sijui wako....

Umenikumbusha enzi zile, ....kulikuwa na dogo anaiba pesa kwao na kuwapa washikaji wamsaidie kutongoza...Mwisho wa siku aligundua pesa zake zinawasaidia washikaji kujisevia!!

Babu DC!!

Mwacheni tu nimwelekeze kama hajapata wahindi wa kichina!
 
ha ha ha ...kemcho gazeti bhai..ulipaswa kujua kwanza yeye kabila gani..unatokea upande upi wa india..kazi kweli kweli...swaga zao hutaziweza kaka. utaishia kumpeleka kwenye movies/tandoori :juggle:
Dah hili ni zoezi jipya lakini nitalifanyia kazi halafu nitakupa jibu!
 
Anauza duka la vifaa vya Kompyuta maeneo ya posta, nilienda kununua
External Hard-disk. Wakati ananipatia akaniminya kidogo kiganja cha mkono
wangu

Nilisisimka si mchezo, Halafu yule mh... maana umbo lake si flat kama wahindi
wengi tunaowaona Bongo. Sijui nianzie wapi maana zoezi la kwanza lilikuwa
kumuondoa mawazoni imeshindikana........ Yule akicheka kuna vishimo vile
kwenye mashavu sijui vinaitwaje............ Ni mpole hana dharau.
Yaani haki ya Mungu nampenda yule dada.
Nakosa raha maana naona ni kina kirefu sijui kama nitaweza kupiga mbizi

Jamani mwenye mistari ya kuingilia kwa Muhindi niko tayari hata kumlipa.

Erotomania is a type of delusion in which the affected person believes that another person, usually a stranger or famous person, is in love with him or her. The illness often occurs during psychosis, especially in patients with schizophrenia or bipolar mania.[SUP][1][/SUP] During an erotomanic episode, the patient believes that a "secret admirer" is declaring his or her affection to the patient, often by special glances, signals, telepathy, or messages through the media. Usually the patient then returns the perceived affection by means of letters, phone calls, gifts, and visits to the unwitting recipient. Even though these advances are unexpected and unwanted, any denial of affection by the object of this delusional love is dismissed by the patient as a ploy to conceal the forbidden love from the rest of the world.
mkuu samahani sana lakini kutokana na maelezo yako inaelekea una aina fulani ya ugonjwa wa akili hivyo nakushauri umuone daktari haraka iwezekanavyo.

Hebu ingia tena dukani. Banisha kama unatafuta kitu. Weka jicho pembeni uone kama wataeja wote/wengine wanabinywa mikono.
Pengine yote hiyo uliyoona wewe kama ndio "umepeeeeendwa!" ndio janja yake ya kuwanasa wateja.
 
Kumbe nia yako pia ni kujua kihindi. Zama mwanamgu halafu mpe hizi:
Kura suche Gazeti! (Huku unatingisha kishwa kama Dr. Patel) = mimi naitwa Gazeti

Para naum suche?
= unaitwa nani?

Anaweza jibu: Suche Krishna = naitwa Krishna

Kisha mwambie: Barabara, kayne gud suchian = Safi, jina zuri sana

Mwongeze (huku unatabasamu): gamu che suchian satra galu gamuache' = nimependa jina lako kama navyokupenda wewe mwenyewe

Sasa usije ukabugi ukaongea kwa nguvu babaake akakusikia, manake jambo la kwanza ataona ulishawahi kuwa mfanyakazi wa ndani kwa wahindi (Juma) kwa hiyo atapata sbb zaidi za kuhakikisha hufanikiwi
 
Erotomania is a type of delusion in which the affected person believes that another person, usually a stranger or famous person, is in love with him or her. The illness often occurs during psychosis, especially in patients with schizophrenia or bipolar mania.[SUP][1][/SUP] During an erotomanic episode, the patient believes that a "secret admirer" is declaring his or her affection to the patient, often by special glances, signals, telepathy, or messages through the media. Usually the patient then returns the perceived affection by means of letters, phone calls, gifts, and visits to the unwitting recipient. Even though these advances are unexpected and unwanted, any denial of affection by the object of this delusional love is dismissed by the patient as a ploy to conceal the forbidden love from the rest of the world.
mkuu samahani sana lakini kutokana na maelezo yako inaelekea una aina fulani ya ugonjwa wa akili hivyo nakushauri umuone daktari haraka iwezekanavyo.

Ah, we daktari vipi mbona unatoka nje ya mada?
Gazeti haumwi wala hana hata mafua, yeye ameamua tu kutuwakilisha wabongo bara Hindi. Mimi namuunga mkono asilimia zile wabunge wa CCM wanaunga mkono miswada ya serikali ya chama chao. Haya uliyoandika siyo tunayoyataka, kama unazo verse za kihindi lete, twende sawa.

Erotomania is a type of delusion in which the affected person believes that another person, usually a stranger or famous person, is in love with him or her. The illness often occurs during psychosis, especially in patients with schizophrenia or bipolar mania.[SUP][1][/SUP] During an erotomanic episode, the patient believes that a "secret admirer" is declaring his or her affection to the patient, often by special glances, signals, telepathy, or messages through the media. Usually the patient then returns the perceived affection by means of letters, phone calls, gifts, and visits to the unwitting recipient. Even though these advances are unexpected and unwanted, any denial of affection by the object of this delusional love is dismissed by the patient as a ploy to conceal the forbidden love from the rest of the world.
mkuu samahani sana lakini kutokana na maelezo yako inaelekea una aina fulani ya ugonjwa wa akili hivyo nakushauri umuone daktari haraka iwezekanavyo.

Unaweza kuwa sahihi kwa upande mmoja lakini kwa upande mwingine usiwe sahihi
kama kupenda ni ugonjwa wa akili, nakubali kwa kuwa wewe ni daktari lakini iwapo
kuamini kuwa unapendwa ndo ugonjwa wenyewe mimi si mgonjwa - Nimempenda yule dada
kabla ya kuniminya Kiganja cha mkono.
 
Hebu ingia tena dukani. Banisha kama unatafuta kitu. Weka jicho pembeni uone kama wataeja wote/wengine wanabinywa mikono.
Pengine yote hiyo uliyoona wewe kama ndio "umepeeeeendwa!" ndio janja yake ya kuwanasa wateja.
Ushauri nzuri lakini hata kama itakuwa hivyo wateja wengine bado namuhitaji.
 
Jitaidi kaka bt hao kuwapata ngumu kutokana na unyanyapaa wao kwa ngoz nyeusi na hata akikupenda yeye utaambulia ugirlfriend na boyfrnd 2. Ukijitaidi sana ni mate na kupewa tigo cause hao wanatakiwa waolewe wakiwa bikra.

Asalaleeeeee kumbe wanatoaga ule mtandao?alooo!!!.
 
Unaweza kuwa sahihi kwa upande mmoja lakini kwa upande mwingine usiwe sahihi
kama kupenda ni ugonjwa wa akili, nakubali kwa kuwa wewe ni daktari lakini iwapo
kuamini kuwa unapendwa ndo ugonjwa wenyewe mimi si mgonjwa - Nimempenda yule dada
kabla ya kuniminya Kiganja cha mkono.
mkuu sitaki kutoa hitimisho kama wewe ni mgonjwa au la,ninachotaka kusema ni vyema ukamuona daktari.hata wenye ugonjwa huu huwa hawakubali kama wanaumwa.
 
Ivi angekupa tu kikawaida, ungeanzisha topic na kupanga mikakati ya kwenda? Nenda kampunguzie vitu ambavyo vita-expire soon.
We ni mteja tu.
 
mkuu sitaki kutoa hitimisho kama wewe ni mgonjwa au la,ninachotaka kusema ni vyema ukamuona daktari.hata wenye ugonjwa huu huwa hawakubali kama wanaumwa.

Duh! Inawezekana mkuu maana hata usiku huwa namuwaza sana
yule dada hata usingizi unakuwa wa shida, inawezekana kweli maana
hata wahenga walisema kupenda ni ugonjwa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom