Binti wa kihindi ananitesa...

Nenda kamwimbie ...."lau moskodae, pili pili nnazo, kuchi kuchi hota he! Lazima atakukubali!
Toa tafsiri mkuu isije kuwa hadithi ya nani amemuua huyu "Sisi watatu " Kwa kujifanya kuongea lugha usiyoelewa
 
mimi tatizo langu ni sisi wanaume wa kiafrika
ukimpata mwanamke wa kihindi au kiarabu....uko tayari kufanya lolote
kumfurahisha......kuliko mwanamke mswahili mwenzio.....

uko tayari kutumia pesa nyiingi na kumdekeza kila aina
lakini mwanamke wa kiswahili utashindana nae hata matunzo ya watoto.....

tunathamini rangi zingine kuliko tunavyojithamini sisi wenyewe....upumbavu saana huu
 
She is good in customer care.......yaani umedata mpaka nouma mazee angekuwa hotel attendant naona ungehamia hapo usahau na kwako.....wanaume tujikaze jamani

Umenifurahisha sana niliwahi safiri kikazi na jmaaa mmoja ofcn! tulikua businessclass emirates! sijui jamaa ajawai kusafiri na kuona labda wa dada wa kwenye ndege wanampenda sana kumuuliza anachotaka na anajisikaje jamaa si akaanza kuongea pumba kumbe wenzie walikua kazini ( customer care)!!
 
Kaka mhudumu wa ndege akikupiga ukope sio kama ndo amekupenda,,ni kastama servisi iyo.
Nimempenda tu si kwa sababu ya kuminywa ila kitendo cha kuminywa
ndo kimenimaliza, hujawahi kuminywa wewe nini kukonyezwa.......
 
We ukienda tena mwambie "jhinga nae kush lainh.." ukiona kakujibu: "nehii..nehii.." ujue hapo mambo kushney..yaan ushamaliza mchezo hapo..
 
mimi tatizo langu ni sisi wanaume wa kiafrika
ukimpata mwanamke wa kihindi au kiarabu....uko tayari kufanya lolote
kumfurahisha......kuliko mwanamke mswahili mwenzio.....

uko tayari kutumia pesa nyiingi na kumdekeza kila aina
lakini mwanamke wa kiswahili utashindana nae hata matunzo ya watoto.....

tunathamini rangi zingine kuliko tunavyojithamini sisi wenyewe....upumbavu saana huu
Kama ulichoongea ni sahihi basi si vizuri lakini nafikiri kama mtu ana tabia
hiyo basi aweza kuifanya kokote.
 
Umenifurahisha sana niliwahi safiri kikazi na jmaaa mmoja ofcn! tulikua businessclass emirates! sijui jamaa ajawai kusafiri na kuona labda wa dada wa kwenye ndege wanampenda sana kumuuliza anachotaka na anajisikaje jamaa si akaanza kuongea pumba kumbe wenzie walikua kazini ( customer care)!!
Tatizo naonekana nimependa kwa sababu ya kuminywa, sivyo nimempenda yeye kama
yeye jamani kule kuminywa ni jambo lingine ambalo limezidisha msukumo yaani ule mminyo.................
 
Kuna siku nilipanda ya Wajerumani, Ile naegesha ****** kwenye seat nashangaa binti mrembo mwenye nywele za rangi ya dhahabu, mzuri kama malaika , eti ananiita ''SIR'!:A S-coffee:'. kwanza Nilipigwa butwaa, pili kichwa kikavimba, tatu nikajiuliza huu uheshimiwa nimeanza lini. basi ndio nikaja kuuliza nikaambiwa ni kawaida tu. lakini inategemea na kampuni.
 
Toa tafsiri basi!

maana yake unamwambia:mi ndo shakupenda nataka leo kuna tatizo? (unajua hawa ni lazima uwaingie direct).. Yeye akijibu:hapanaa hapanaa..ujue kwisha hapo..ushamaliza mchezo..unapanga appointment tu..
 
Mdogo wangu Gazeti,

Sina hakika kama hii siyo ile biasahara ya kutokwa na mate kabla ya kufungua pipi kwenye ganda,

Kumbuka, ...hamu ni tamu kuliko tamu yenyewe....Nenda mdogo mdogo usijekuumbuka bure especially unapodeal na watu ambao wamefundishwa vizuri mambo ya customer care!!!!
 
Tahadhari ukadhani kakupenda then unatupa neno, utashangaa utakavyorukwa. Wahindi wazuri sana kwenye kuvutia biashara (customer care). Nahisi umeshakamatwa, hutafanya tena window shopping kutafuta bei chee. Kila siku kwa mhindi tu kwa kifupi kama hilo ndo lengo lake, basi umeliwa!
 
Tatizo naonekana nimependa kwa sababu ya kuminywa, sivyo nimempenda yeye kama
yeye jamani kule kuminywa ni jambo lingine ambalo limezidisha msukumo yaani ule mminyo.................

Mkuu Gazeti pambana tu wanalika hao!! mi nilimaanisha kua atujazoea kuona wadada wakiwa wanatoa service kusmile!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom