Binti wa kihindi ananitesa...

Ha ha ha ha haaaaaaa!teh teh teh teh!Yani nimecheka mpaka bhasi nimelia,kweli jf iendelee kuwa hewani tu kwani ningemicc mengi
Ngugu yangu usijalibu kula Tigo ya kihindi si unajua wale jamaa kwa pilipili?jaribu uone moto.ushawai guswa na pilpili ktk ngozi laini?utaungua.
 
Ane hanyau, koloni golo. Kula gahenge dunia meraa! Zindegi dunia ponjod marigioo. Bosola choti kargarhu. Hapo utakuwa umemaliza mkuu na kinachofuata ukariri ka verse kamoja ka wimbo wa kibambad then unavuta tu kiulaini. Nafanya kwa wahindi kazi za ndani ndo maana nakijua vyema.
 
Anauza duka la vifaa vya Kompyuta maeneo ya posta, nilienda kununua External Hard-disk. Wakati ananipatia akaniminya kidogo kiganja cha mkono wangu

Nilisisimka si mchezo, Halafu yule mh... maana umbo lake si flat kama wahindi wengi tunaowaona Bongo. Sijui nianzie wapi maana zoezi la kwanza lilikuwa kumuondoa mawazoni imeshindikana........

Yule akicheka kuna vishimo vile kwenye mashavu sijui vinaitwaje............ Ni mpole hana dharau. Yaani haki ya Mungu nampenda yule dada. Nakosa raha maana naona ni kina kirefu sijui kama nitaweza kupiga mbizi

Jamani mwenye mistari ya kuingilia kwa Muhindi niko tayari hata kumlipa.
Mahaba niue hiyo
 
Hapo kwenye Red huwa nasikia sana hizo story ingawa sina uhakika kama zina
ukweli please kama kuna mtu ana ushahidi kuwa imewahi kutokea ni vizuri akitufahamisha.
Wanalika vizuri tu, ila mara nyingi ni ile fastafasta, manake hawachelewi kutafutwa home!
 
Anauza duka la vifaa vya Kompyuta maeneo ya posta, nilienda kununua External Hard-disk. Wakati ananipatia akaniminya kidogo kiganja cha mkono wangu

Nilisisimka si mchezo, Halafu yule mh... maana umbo lake si flat kama wahindi wengi tunaowaona Bongo. Sijui nianzie wapi maana zoezi la kwanza lilikuwa kumuondoa mawazoni imeshindikana........

Yule akicheka kuna vishimo vile kwenye mashavu sijui vinaitwaje............ Ni mpole hana dharau. Yaani haki ya Mungu nampenda yule dada. Nakosa raha maana naona ni kina kirefu sijui kama nitaweza kupiga mbizi

Jamani mwenye mistari ya kuingilia kwa Muhindi niko tayari hata kumlipa.
"Mwambie jumamosi uchukue chumba lodge gani full stop"
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom