Mlima simba
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 3,856
- 7,039
Toa pesa mkuu,
Yes [emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa hiyo mumu huwa ana spend tuu?
She helps me make money first halaf ndio ana spend kwa tena mahesabu vile vile.hahaha yy yupoje madam Ney?
Tafuta ambae tayari ana pesa zake.tatizo ni kupenda pesa kuliko kawaida
mmmhu basi pia usikute kuna sehem anaSpend za mtu bila kutafuta [emoji41][emoji41][emoji41]She helps me make money first halaf ndio ana spend kwa tena mahesabu vile vile.
Basi na wewe usikute kuna sehemu wako ana mhelp ku make money. Ukimpa anaenda kuingiza kwenye idea ya mwenziommmhu basi pia usikute kuna sehem anaSpend za mtu bila kutafuta [emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji23] [emoji23] aisee life haipo fair kabisaBasi na wewe usikute kuna sehemu wako ana mhelp ku make money. Ukimpa anaenda kuingiza kwenye idea ya mwenzio
[emoji23]
sawa tu....huoni unakua umesaidia wengi kwa wakati mmoja [emoji12][emoji12][emoji12][emoji1][emoji1][emoji1][emoji41][emoji41][emoji41]Basi na wewe usikute kuna sehemu wako ana mhelp ku make money. Ukimpa anaenda kuingiza kwenye idea ya mwenzio
[emoji23]
No Romance Without Finance