Binti mrembo wa ki-iraq | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Binti mrembo wa ki-iraq

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bupilipili, Dec 8, 2011.

 1. Bupilipili

  Bupilipili Member

  #1
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajamii, nahitaji msaada wenu ktk hili.

  ...umepita mwezi mmoja sasa toka nikutane na binti mrembo toka kabila la Wa-iraq wanaoishi karatu...aisee ni binti mkali sana na mzuri wa moyo...(kwa kipindi hiki toka nimfahamu) kwa kudra za Mwenyezi naendelea kuomba awe mke wa ndoa.

  Nauliza, mabinti wa kabila hili la wa-iraq wakoje yaani uhalisia wao kabisa...maana wahenga walisema "Ukipenda shirikisha walio nje ili upate kitu sahihi"

  Tafadhali, mwenye ufahamu na mabinti wa kabila la wa-iraq anisaidie...

  Nawasilisha wadau wa jukwaa!!!!
   
 2. M

  MUGUNDA Member

  #2
  Dec 8, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 15
  we vip si umependa binti bwana?sasa unauliza nini, utaambiwa mengine ambayo utakosa usingizi ndugu. stop this.
   
 3. Bupilipili

  Bupilipili Member

  #3
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante!
   
 4. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #4
  Dec 8, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Ukimchunguza sana bata, huwezi kumla!
  :focus:
  Kaka unamuoa huyo binti tu na sio wanawake wa iraq wote, amini ya kuwa huyo ni binti mwema na usiache kumuomba Mungu ili asibadilike, awe ni binti wa kufanana nawe katika shida na raha!

   
 5. Bupilipili

  Bupilipili Member

  #5
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  ...naendelea kumuomba Mwenyezi...

  af, binti kanihakishia "hajawahi kuguswa toka azaliwe"
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Dec 8, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,872
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  wapo kama alivyo huyo binti
   
 7. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #7
  Dec 8, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ni wa-Iraq
   
 8. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #8
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Hata nimeshangaa ni wa - Iraq au wa-kiilaki ile ya bongo sijui wako mkoani singida-manyara-dodoma
   
 9. Matango

  Matango JF-Expert Member

  #9
  Dec 8, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  "if you judge people, you have no time to love them", mother teresa.
   
 10. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #10
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  we unaoa kabila au msichana ..

  Tuko bomba sana.
  kila kona tumekamilika.
  nini zaidi unataka kujua.

  hii ni kwa matumizi ya baadayeeeee
  chagua akupendae na ambaye anafaa kuishi nawe.
  Kabila, sura, dini, sijuu miguu, uso, **** hayata kufikisha mbali..
  asante

  Ngoja nikuitie wengine wakusaidie, Dena Amsi, Preta, Nyamayao, Desi Dii.... nk
   
 11. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #11
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sayitaa
   
 12. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #12
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Jamani sio wa Ki-iraq, ni wa Ki-iraqw. msiwe mnasahau kuongeza w mwishoni otherwise mtakuwa mnamaanisha watu wengine kabisa.

  Wapo bomba sana..... OA haraka kabla watu hawajakuwahi. Huwa hawapendi kuzinguliwa, kama unahisi anakupenda kwa dhati kamata shuttle hilo mzee.
   
 13. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #13
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Sayu aidoma khaaee..
   
 14. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #14
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Aso'alowe desi rii. Fa'arta'ag
   
 15. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #15
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  garma wii yaa .. faaroqwo..

  kung garma oo ako??
   
 16. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #16
  Dec 8, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Nilijua hapa hautakosekana.....lol.....:eyebrows:...msalimie Catherine
   
 17. libent

  libent JF-Expert Member

  #17
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 385
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  usisahau kwenda ukweni kule iraq wanaweza kukupa hata uraia changamkia chance mwaego. Nashut down
   
 18. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #18
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mmmm hawa wa-iraq kwanza weupe peeeeee,pili vigeugeu sana na watu wa kushoboka,pili ukimleta dar tu watu wanakusaidia
   
 19. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #19
  Dec 8, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  mmmmmmmmmmh!.....
   
 20. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #20
  Dec 8, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  MMh wanapiga ndumba sana........
   
Loading...