Binti mrembo wa ki-iraq

Nina hakika utakuwa umewahi kusali lile kanisa Katoliki la Imbolu ni kubwa hilo sijawahi ona aisee
Ile kanisa nimewahi kuingia na sio mara moja,wanasema kwa ukubwa africa ni la tatu ila sina uhakika,
ila kila maisha yanaraha yake,nilipazoea sana imboru mana nilikuwa na friends kibao it was really interesting place
 
we unaoa kabila au msichana ..

Tuko bomba sana.
kila kona tumekamilika.
nini zaidi unataka kujua.

hii ni kwa matumizi ya baadayeeeee
chagua akupendae na ambaye anafaa kuishi nawe.
Kabila, sura, dini, sijuu miguu, uso, **** hayata kufikisha mbali..
asante

Ngoja nikuitie wengine wakusaidie, Dena Amsi, Preta, Nyamayao, Desi Dii.... nk

kumbe nyie wote wa iraq ,
 
Back
Top Bottom