Binti mrembo wa ki-iraq

kaka hayo ya kweli!!!!nimehishi nao,nawajua sana!!!!na pepo langu la ngono nimewatumia sana!!na prevalence ya HIV mpaka sasa kwao ipo chini!!!kwa hiyo ukishindwa waweza jilipua!!!!ebu fika mbulu,katesh,karatu!!!hizo ndio wilaya zao!!!!!!siku ukifika hakikisha unatumia!!utapata tu!!!

Kwanza kabisa mimi ni dada.
Pili kaombewe hilo pepo lako la ngono.
Mbulu, Katesh, Karatu, Hydom, mamaisara, Dongebesh, yaeda chini kote huko nyumbani
Halafu acha kututangaza kama tu nguo za mitumbani, shika adabu yako.
 
hehehe! tena humu JF atapewa majibu mengine yatamkatisha tamaa! kabisa! cha kufany amuangalie tabia zake! kama ameridhika naye ! good 2 go
we unafkiri angekuwa ameridhika naye angekuja kuomba ushauri humu ndani..!??
 
Aisee nimekumbuka kituko kimoja toka kwa friend wangu> Jamaa baada ya 'kumalizana' na mwanamke a kiiraqw, si akamwambia mwanamke 'amfute', maongezi yao yalikuwa kama ifuatvyo:-

Mwanaume: chukua basi kitambaa unifute

Mwanamke wa kiiraqw: Fyagia yako na mimi nafyagia yangu (futa nanii yako na mimi ntafuta yangu-jamaa alizoea kufutwa na mwanamke after orgasm, kwa mwanmke wa kiiraqw alinoa).

Jamaa alibaki kaduwaa tu. Mapenzi ya kiiraqw hayo.

Ila tuongee ukweli vidume, hawa wairaqw wamependelewa jamani kwa uzuri wa nje (phenotypically). Hakuna kabila linaloweza kuwafikia kwa phenotype.........sema tu kasoro ndo hivyo tena!

Ni nani alie perfect dunia hii??
au ni nani asie na kasoro?
 
Kwanza kabisa mimi ni dada.
Pili kaombewe hilo pepo lako la ngono.
Mbulu, Katesh, Karatu, Hydom, mamaisara, Dongebesh, yaeda chini kote huko nyumbani
Halafu acha kututangaza kama tu nguo za mitumbani, shika adabu yako.

nimeipenda hiyo!!!yaeda au Dareda?mh usikasirike bwana!!!ila mlinitunza kijana wa watu!!!!UNANIKUMBUSHA MBALI WEWE!!CMSC,nikienda haydom,natulia hapo nilikuwa na toto la ukweli!!!!!ahhaaaa ntarudi tena mie!!!!!!!!
 
Nashangaa sana wanaopenda kusema makabila ya wenzao kuwa sijui malaya na blah blah blah blah utafikiri wao makabila yao hao wanawake wao ni malaika

Ndo hapo hapo sasa vichekesho.
wanachungulia magunia ya wengine kumbe yao
yameja magunzi matupuuu..

Cha aajabu ni pale mtu anapochanganya watu wote wa kabila moja..
na wakati kila mtu amekulia na amezaliwa kwenye familia na mazingira tofauti ..
 
Ni nani alie perfect dunia hii??
au ni nani asie na kasoro?

bi mkubwa acha hasira!!!!!!wengine twakumbuka mbali kweli!!!!!imagine hujaoa!!!una kazi yako nzuri!!!kijana mdogo!!asubuhi wafuatwa na gari,jion warudisha!!!na una pepo la ngono!!!!kwako upo peke yako,nyumba self contained!!!!!walahi nilifaid!!!!
 
Huwa nazichukia sana thread zinazoongelea tabia za makabila. Wengi huzitumia kusemea vibaya makabila ya wenzetu. Haiwezekani kila kabila linalouliziwa hapa linamapungufu tu! Humu kuna watu waliooa na walioolewa lakini utadhani hawajaoa wa tz maana humu kila aliyetoka kwenye makabila yetu hana sifa nzuri.

I hate this. Period!
 
nimeipenda hiyo!!!yaeda au Dareda?mh usikasirike bwana!!!ila mlinitunza kijana wa watu!!!!UNANIKUMBUSHA MBALI WEWE!!CMSC,nikienda haydom,natulia hapo nilikuwa na toto la ukweli!!!!!ahhaaaa ntarudi tena mie!!!!!!!!

mi wala hata sija kasirika.
bado najifunza jinsi ya kukasirika ..

bi mkubwa acha hasira!!!!!!wengine twakumbuka mbali kweli!!!!!imagine hujaoa!!!una kazi yako nzuri!!!kijana mdogo!!asubuhi wafuatwa na gari,jion warudisha!!!na una pepo la ngono!!!!kwako upo peke yako,nyumba self contained!!!!!walahi nilifaid!!!!

Kwa raha zako ..
hii ipo kila kona ya TZ si Manyara tu.
 
Ndo hapo hapo sasa vichekesho.
wanachungulia magunia ya wengine kumbe yao
yameja magunzi matupuuu..

Cha aajabu ni pale mtu anapochanganya watu wote wa kabila moja..
na wakati kila mtu amekulia na amezaliwa kwenye familia na mazingira tofauti ..
Maana yake hapa sasa watu wanataka kufanya kuwa wao ni bora kuliko wenzao...some people man
 
achana na masuala ya ukabila Bupi mpende kutokana na yeye alivyo hususan undani wake (ingawa nje nayo counts) na si kwa sababu ya ukabila sijui katokea upande gani wa tanzania. Na kama unataka awe mke wako huko mbeleni, mfuatilie /mchunguze uone kama ni wife material.......am so against hii ukabila business when it comes to relationships and marriages.

Lakini cha muhimu ujijue unataka nini halafu mawazo/maushauri ya watu yanafuatia baadae
 
Sikukuu hii ya Krismasi na Mwaka Mpya nitaenda kutembea Mbulu baada ya hapo Katesh nikifika hapa Karatu sijui Dena nitamkuta then nitasogea zangu Hydom kwa Blaki Womani ili anipeleke mamaisara na Dongebesh kisha namalizia yaeda kwa Preta
 
bado daffi sasa sijui itakuwaje hapo kwa dadake kupendwa na ankoli bupilipili..:confused3:
 
We kama unataka kuoa... oa tu,maana ukianza kuuliza uliza utaambiwa hadi yasiyokuwemo.
Watanzania walivyokuwa na mbwembwe,kila kabila wamelipa sifa zake mara hawa Malaya,wabahili,,wachawi,washamba,hawapendi ndugu,mwishowe uambiwe hao hawazaagi.Shauri yako.
 
Sikukuu hii ya Krismasi na Mwaka Mpya nitaenda kutembea Mbulu baada ya hapo Katesh nikifika hapa Karatu sijui Dena nitamkuta then nitasogea zangu Hydom kwa Blaki Womani ili anipeleke mamaisara na Dongebesh kisha namalizia yaeda kwa Preta

Kwa raha zako, ukikosa mwali huko........mh??
 
We
umekutana na wangapi ? au ulichosema hapo umesikia, umeona au umeyapiti?

Sijawahi kuwa na M-iraq,ila nipo karatu kimasomo, nina rafiki ambao wanawambulu/iraq, pia nililipewa sifa zao hata kabla sijafika huku na nikapewa onyo pia kuhusu hawa wa2. Kisemwacho kipo hata Humu ndani pia umejionea mwenyewe.
 
Back
Top Bottom