Binti mrembo wa ki-iraq

Wanajamii, nahitaji msaada wenu ktk hili.

...umepita mwezi mmoja sasa toka nikutane na binti mrembo toka kabila la Wa-iraq wanaoishi karatu...aisee ni binti mkali sana na mzuri wa moyo...(kwa kipindi hiki toka nimfahamu) kwa kudra za Mwenyezi naendelea kuomba awe mke wa ndoa.

Nauliza, mabinti wa kabila hili la wa-iraq wakoje yaani uhalisia wao kabisa...maana wahenga walisema "Ukipenda shirikisha walio nje ili upate kitu sahihi"

Tafadhali, mwenye ufahamu na mabinti wa kabila la wa-iraq anisaidie...

Nawasilisha wadau wa jukwaa!!!!

Shemeji,

Usihofu wee endelea kumuomba Mungu
 
wanajamii, nahitaji msaada wenu ktk hili.

...umepita mwezi mmoja sasa toka nikutane na binti mrembo toka kabila la wa-iraq wanaoishi karatu...aisee ni binti mkali sana na mzuri wa moyo...(kwa kipindi hiki toka nimfahamu) kwa kudra za mwenyezi naendelea kuomba awe mke wa ndoa.

Nauliza, mabinti wa kabila hili la wa-iraq wakoje yaani uhalisia wao kabisa...maana wahenga walisema "ukipenda shirikisha walio nje ili upate kitu sahihi"

tafadhali, mwenye ufahamu na mabinti wa kabila la wa-iraq anisaidie...

Nawasilisha wadau wa jukwaa!!!!

umenikumbusha mbali wewe!!!!hanang'-manyara.kaka kama unaoa oa maana ni wazuri sana!!na kwa kweri umependa!!au na wewe unatoka sehemu ambazo wanatahiri wanawake?maana hakuna msichana muiraqw hata kama ana miaka 8 hajatairiwa!!ila angalizo kama uliloambiwa hawajui kukataa awe ameolewa au la!!huo ni uhakika hata afro dens anaujua!!!!ukimleta kwa wajanja watakusaidia tu maana wana mvuto!!!
 
Sifa zao..
1. Wanashoboka sana kwa wanaume hasa hasa ukiwa kabila tofauti na wao

2. Hawajui kukataa mtu,unamtnga leo,kesho anamkubali mwingine

3. Hawajui kumhandle mwanaume na kumkamata kisawasawa(i.e mapenzi kwao Division 0)

4. Ni wazuri kisura,bali kiumbo 0. Na wanatumia uzuri wao kukamata wengi, kama we ulivyomsifia hapo.

5. Hawana mitazamo ya Mbele kimaisha wanaangalia leo tu.

6. Hawajui dhamani ya pesa(matumizi si mazuri kiufupi)

7. Wanasifika kwa Umal***y

Ila sikukatishi moyo nakushauri mchunguze kwa mda mrefu ujue A-Z yake ndo Kama kuoa Ndo uone

Mwanaume wengi wanasema si wa kuoa ila wakuchezea tu,ili uonekane na we una mtu Mzuri

NOTE: Si wote ila ASILIMIA KUBWA WAPO HIVYO.
 
...naendelea kumuomba Mwenyezi...

af, binti kanihakishia "hajawahi kuguswa toka azaliwe"

kwa thread hii, una lako jambo wewe. hapa unataka watu waanze 'kuropoka' nafsi yako itulie kwa kupata ukitafutacho.

"kosea yooooooooooooooooooote lakini usikosee kuoa"
 
umenikumbusha mbali wewe!!!!hanang'-manyara.kaka kama unaoa oa maana ni wazuri sana!!na kwa kweri umependa!!au na wewe unatoka sehemu ambazo wanatahiri wanawake?maana hakuna msichana muiraqw hata kama ana miaka 8 hajatairiwa!!ila angalizo kama uliloambiwa hawajui kukataa awe ameolewa au la!!huo ni uhakika hata afro dens anaujua!!!!ukimleta kwa wajanja watakusaidia tu maana wana mvuto!!!

tayari wameshaaanza...............sisi wabongo!
 
Sifa zao..
1. Wanashoboka sana kwa wanaume hasa hasa ukiwa kabila tofauti na wao

2. Hawajui kukataa mtu,unamtnga leo,kesho anamkubali mwingine

3. Hawajui kumhandle mwanaume na kumkamata kisawasawa(i.e mapenzi kwao Division 0)

4. Ni wazuri kisura,bali kiumbo 0. Na wanatumia uzuri wao kukamata wengi, kama we ulivyomsifia hapo.

5. Hawana mitazamo ya Mbele kimaisha wanaangalia leo tu.

6. Hawajui dhamani ya pesa(matumizi si mazuri kiufupi)

7. Wanasifika kwa Umal***y

Ila sikukatishi moyo nakushauri mchunguze kwa mda mrefu ujue A-Z yake ndo Kama kuoa Ndo uone

Mwanaume wengi wanasema si wa kuoa ila wakuchezea tu,ili uonekane na we una mtu Mzuri

NOTE: Si wote ila ASILIMIA KUBWA WAPO HIVYO.
We
umekutana na wangapi ? au ulichosema hapo umesikia, umeona au umeyapiti?
 
Mmmm hawa wa-iraq kwanza weupe peeeeee,pili vigeugeu sana na watu wa kushoboka,pili ukimleta dar tu watu wanakusaidia

unavichekesho eti ukimleta Dar..
Dar ndo nini ?? umeshindwa kazi unawasingizia wengine..
acha usaidiwe..
 
Aisee nimekumbuka kituko kimoja toka kwa friend wangu> Jamaa baada ya 'kumalizana' na mwanamke a kiiraqw, si akamwambia mwanamke 'amfute', maongezi yao yalikuwa kama ifuatvyo:-

Mwanaume: chukua basi kitambaa unifute

Mwanamke wa kiiraqw: Fyagia yako na mimi nafyagia yangu (futa nanii yako na mimi ntafuta yangu-jamaa alizoea kufutwa na mwanamke after orgasm, kwa mwanmke wa kiiraqw alinoa).

Jamaa alibaki kaduwaa tu. Mapenzi ya kiiraqw hayo.

Ila tuongee ukweli vidume, hawa wairaqw wamependelewa jamani kwa uzuri wa nje (phenotypically). Hakuna kabila linaloweza kuwafikia kwa phenotype.........sema tu kasoro ndo hivyo tena!
 
We
umekutana na wangapi ? au ulichosema hapo umesikia, umeona au umeyapiti?

kaka hayo ya kweli!!!!nimehishi nao,nawajua sana!!!!na pepo langu la ngono nimewatumia sana!!na prevalence ya HIV mpaka sasa kwao ipo chini!!!kwa hiyo ukishindwa waweza jilipua!!!!ebu fika mbulu,katesh,karatu!!!hizo ndio wilaya zao!!!!!!siku ukifika hakikisha unatumia!!utapata tu!!!
 
ULIZA WANAUME WA KI-IRAQ WATAKUPA JIBU ZURI SANA, take care
 
we vip si umependa binti bwana?sasa unauliza nini, utaambiwa mengine ambayo utakosa usingizi ndugu. stop this.

hehehe! tena humu JF atapewa majibu mengine yatamkatisha tamaa! kabisa! cha kufany amuangalie tabia zake! kama ameridhika naye ! good 2 go
 
we vip si umependa binti bwana?sasa unauliza nini, utaambiwa mengine ambayo utakosa usingizi ndugu. Stop this.

sifa zao..
1. Wanashoboka sana kwa wanaume hasa hasa ukiwa kabila tofauti na wao

2. Hawajui kukataa mtu,unamtnga leo,kesho anamkubali mwingine

3. Hawajui kumhandle mwanaume na kumkamata kisawasawa(i.e mapenzi kwao division 0)

4. Ni wazuri kisura,bali kiumbo 0. Na wanatumia uzuri wao kukamata wengi, kama we ulivyomsifia hapo.

5. Hawana mitazamo ya mbele kimaisha wanaangalia leo tu.

6. Hawajui dhamani ya pesa(matumizi si mazuri kiufupi)

7. Wanasifika kwa umal***y

ila sikukatishi moyo nakushauri mchunguze kwa mda mrefu ujue a-z yake ndo kama kuoa ndo uone

mwanaume wengi wanasema si wa kuoa ila wakuchezea tu,ili uonekane na we una mtu mzuri

note: Si wote ila asilimia kubwa wapo hivyo.

duh! Baada ya hii thread sijui msela kama ataoa tena!
 
Back
Top Bottom