Binti mdogo anatembea na wababa halafu anakuamkia wewe kijana, maana yake nini?

Kuna katabia huwa sikipendi kwa hawa viumbe wanawake Especially mabinti.Yani sipendi hii tabia,Ni hivi unakuta binti umemzidi umri sawa Lakini anatembea watu wakubwa zaidi yako kiumri alafu akikuona anakupa shikamoo ya uoga.Binti mdogo anatembea na wababa alafu anakuamkia wewe kijana tena kwa wasiwasi hii imekaje wadau..
Nawasilisha
Akikuamkia muulize ndo utapata jibu sahihi mkuu, huku sisi tutakupa majibu ya kubahatisha tu
 
Kuna katabia huwa sikipendi kwa hawa viumbe wanawake Especially mabinti.Yani sipendi hii tabia,Ni hivi unakuta binti umemzidi umri sawa Lakini anatembea watu wakubwa zaidi yako kiumri alafu akikuona anakupa shikamoo ya uoga.Binti mdogo anatembea na wababa alafu anakuamkia wewe kijana tena kwa wasiwasi hii imekaje wadau..
Nawasilisha
Shikamoo kaka,,,hahahahahhaahha leo utaamkiwa humu hadi upasuke kwa hasira
 
KWANI HUJUI KUWA NYETI ZA MWANAMKE NI KAMA MPIRA,HUTANUKA NA KUSINYAA HIVYO SIZE YEYOTE INAPITA
 
Lakin kwani kuamkiwa shikamoo ndo kunasababisha ushindwe kupiga sound zako?mbona mimi mume wangu huwa namuamkia shikamoo maana amenizidi kama miaka 10 hivi na wala hajisikii vibaya anaona kawaida tu,,"shikamoo mahabuba wangu,,shikamoo mume wangu kipenzi,,,shikamoo barafu wangu wa moyo"hayo ndo mambo yaliokuwepo hata zamani
 
Hiyo mbona ilkuwepo tangu enzi za mababu. watoto wanaolewa na wenye mvi zao.

Na maisha yalisongaga tu.

Brother, never mind be patient alafu nikujuze tu.
Hapa mtaa wetu kuna mmama wa makamo anakataa shikamoo yangu mpaka naishia kumchana live kwamba sikusalimii tena anaishia kucheka tu. Unadhani kitu gani kinaendelea.

Watoto wanakimbilia wakubwa na wakubwa wajilamba kwa wadogo kiumri na hata kimaumbo.
 
Back
Top Bottom