Binti mdogo anatembea na wababa halafu anakuamkia wewe kijana, maana yake nini?

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Dec 25, 2016
2,196
2,020
Kuna katabia huwa sikipendi kwa hawa viumbe wanawake Especially mabinti. Yani sipendi hii tabia,

Ni hivi unakuta binti umemzidi umri sawa Lakini anatembea watu wakubwa zaidi yako kiumri alafu akikuona anakupa shikamoo ya uoga. Binti mdogo anatembea na wababa alafu anakuamkia wewe kijana tena kwa wasiwasi hii imekaje wadau..

Nawasilisha
 
Kwani lazima uitikie salamu yake...... Do not take life too serious... You will never get out of it alive..........
 
Inauma zaidi pale anapomuita Baba, Mjomba au Kaka ako Baby alafu wewe anakupa shkamoo.
 
  • Thanks
Reactions: 247
Kuna katabia huwa sikipendi kwa hawa viumbe wanawake Especially mabinti.Yani sipendi hii tabia,Ni hivi unakuta binti umemzidi umri sawa Lakini anatembea watu wakubwa zaidi yako kiumri alafu akikuona anakupa shikamoo ya uoga.Binti mdogo anatembea na wababa alafu anakuamkia wewe kijana tena kwa wasiwasi hii imekaje wadau..
Nawasilisha
Hujamsikia vizuri.

Anakuomba ku "Shikamboo".
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom