Binti mdogo anatembea na wababa halafu anakuamkia wewe kijana, maana yake nini?

Tatizo tunataka kusingizia kila kitu "utandawazi" Mbona hata zamani vibinti vya miaka 15-20 vilikuwa vinaolewa na watu wenye umri wa babu zao?
Kakifika "kwake"kunakuta watoto wake wa kambo zaidi ya wazazi wake.
Angalizo:Tuangalie maisha yetu kila mmoja kivyake. Unajua umri wa rais wa ufaransa na mkewe,kapungukiwa nini?
 
Bado sijaelewa point yako ni ni nini wewe unataka salamu yakutoka moyoni au unataka kigegedeo? Au hutaki wstembee ns wazee
Wanadai kuwa eti wewe ni kinara wa hiyo namba 3!!........Kuna ukweli wowote kwenye hilo jamani?
mm nipo single huyo wakumpiga mizinga namtoa wapi?? Si kweli ila wengi wanaamini hivyo kutokana na michango yangu kwenye mada km hizo, istoshe kuna uzi niliwahi kuandika
So wengi watanihisi hivyo but nipo tofauti kidogo
Wengi wenu ndo salaam zenu,Lakini nyingi salaam hizo hazitoki moyoni
 
Kuna utafiti umethibitisha kuwa mabinti wakiolewa na watu wenye umri mkubwa wanaishi maisha marefu tofauti na kuolewa na vijana, ngoja nikaekae umri uende
 
Kuna katabia huwa sikipendi kwa hawa viumbe wanawake Especially mabinti.Yani sipendi hii tabia,Ni hivi unakuta binti umemzidi umri sawa Lakini anatembea watu wakubwa zaidi yako kiumri alafu akikuona anakupa shikamoo ya uoga.Binti mdogo anatembea na wababa alafu anakuamkia wewe kijana tena kwa wasiwasi hii imekaje wadau..
Nawasilisha

cc: Elizabeth Michael a.k.a. Lulu
 
Bado sijaelewa point yako ni ni nini wewe unataka salamu yakutoka moyoni au unataka kigegedeo? Au hutaki wstembee ns wazee
mm nipo single huyo wakumpiga mizinga namtoa wapi?? Si kweli ila wengi wanaamini hivyo kutokana na michango yangu kwenye mada km hizo, istoshe kuna uzi niliwahi kuandika
So wengi watanihisi hivyo but nipo tofauti kidogo
Mtoto mzuri kama wewe kuwa single ndo nini???!
 
Back
Top Bottom