Wababa bora hawafichi wahalifu wezi, mafisadi, wadhulumati, wamwagaji damu zisizo na hatia, na makosa mengine

ROBERT HERIEL

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
2,782
2,000
WABABA WAPUMBAVU NA MALOFA

Kwa Mkono wa, Robert Heriel

Angalizo; Jumbe hii imetumia lugha ngumu na maneno makali, tafadhali ikiwa wewe huwezi kustahimili naomba uishie hapa hapa kusoma. Kama utasoma basi soma at your own Risk.

Jamii na Dunia tangu imezoea kuwatukana kina mama na wanawake. Vitabu vya dini navyo baadhi ya aya zimekuwa zikiwakejeli wanawake kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na sisi wanaume. Sio ajabu kusikia neno mwanamke Mpumbavu, mama mpumbavu, mwanamke kahaba, mwanamke mchawi na maneno mengine.

Upo wimbo usemao "No woman no Cry" aliouimba Mwanamuziki Nguli wa Rege Wajina wangu Robert Marley(Bob Marley) Hii yote ni kumtwisha mwanamke lawama na msalaba wa ukosaji. Dunia yote inadhana hiyo pia. Lakini ukweli ni kuwa Mwanamke sio wa kupewa lawama, yupo wakupewa lawama, naye si mwingine ni sisi wanaume "WABABA WAPUMBAVU NA MALOFA"

Mwana muziki Bob Marley nafikiri kama angefikiri vyema wala asingeandika wimbo huo na kama angeandika basi angeupa maudhui mengine yenye kichwa kisemacho "NO FOOLISH FATHER NO CRY" Yenye ujumbe ambao ningeutafsiri kama " Pasingekuwa na Baba Mpumbavu kusingekuwa na Kilio"

Huo ndio ukweli Wababa wapumbavu ndio wanaoifanya jamii na taifa kama sio dunia kulia kilio kikuu. Wababa wapumbavu ndio chanzo kikuu cha majonzi ndani ya jamii na taifa.

Ukiona jamii yoyote ni masikini, jua wababa wa jamii hiyo wengi ni Wapumbavu
Ukiona familia yoyote ile ni masikini, jua Baba wa familia hizo wengi ni wapumbavu
Ukiona taifa lolote lile ni masikini, jua wababa wa mataifa hayo wengi wao ni wapumbavu na malofa.
Mababa bora hawawezi kukubali jamii zao ziwe masikini
Baba bora hawezi kukubali familia yake iwe masikini
Mababa bora hawawezi kukubali mataifa yao yawe masikini.

Ni Baba lofa na mpumbavu tuu ndiye atakayekubali umasikini.

Ninaongea haya kwa uchungu na ni ukweli mchungu bila kujali yananihusu mimi mwenyewe au wewe au yule. Kama itakuuma au kuniuma tubadilike, kama utamaindi basi jua upumbavu wako umekomaa. Wababa wapumbavu hawajui majukumu ya Baba ndani ya familia na taifa lake.

Moja ya majukumu ya Baba ni Ulinzi ndani ya familia na ndani ya nchi.

Ukiona familia yako haina amani, sijui mkeo au ndugu za mke, au ndugu zako wanakuvuruga hadi familia yako haina amani nawe ukakubali jua wewe ni mpumbavu na lofa tuu. Unashindwaje kulinda familia, yaani ushindwe kulinda amani ya familia amani ya taifa utaiweza. Tenda kama mwanaume usituletee upopompo hapa.

Ukiona upo kwenye mtaa alafu kuna vikundi vya hovyo vya kihuni huni, sijui wezi, wakabaji na vibaka, sijui panya road na upuuzi wao na ninyi kama wababa wa mtaa mmeshindwa kuvidhibiti hivyo vikundi basi jua ninyi ni wababa wapumbavu na malofa.

Yaani mwanaume mzima unatishiwa kupita njia sijui majira ya usiku na vikundi vya kishenzi nawe kama demu ati unaogopa, wewe kama sio lofa ni nani.

Mitaa yenye mababa bora huwezi sikia huo upuuzi, atakayeanzisha wizi au ukabaji atajuta yeye na familia yake, piga shaba, tupa huo mzoga uliwe na mbwa huko. Wababa bora hawawezi chekea vitu vya kipuuzi, unakuta mwanaume mzima anasema anaichia polisi, polisi ndio wameibiwa au wanakabwa, embu acheni upuuzi wa kipuuzi.

Serikali inayoongozwa na wababa bora huwezi sikia sijui majambazi, sijui vikundi gani vya kipuuzi puuzi, yaani kikundi kikijitokeza ni shaba, kikikimbia Risasi, kisha mizoga yao ikaliwe na fisi wa Mikumi huko. Serikali ya wababa bora haiwezi chekea upuuzi puuzi, sijui kwa kuogopa umoja wa mataifa sijui upuuzi gani, kwani umoja wa mataifa ndio umefanyiwa ujambazi? au ndio umefanyiwa ugaidi.

Baba bora hachekei upumbavu, ukichekea upumbavu maana yake nawe ni mpumbavu tuu, ukicheka ulofa nawe ni Lofa.

Majukumu ya Baba Bora ni kuitunza familia, mke na watoto. Atahakikisha watoto na mke wanakula vizuri, wanavaa vizuri na kulala pazuri, na kuhakikisha future ya watoto anaijenga yeye.Lakini Mababa mapumbavu kuitunza famiia hayawezi, yanataka yatunziwe mke na watoto, kazi kujitamba mimi Baba, sijui mimi Baba, sijui mimi Mume. Wewe ni mpumbavu tuu na lofa kama huwezi kuitunza familia yako na unanguvu. Yaani mtoto umzae mwenyewe alafu atunzwe na mwingine nawe upo unatamba kwa upumbavu wako, wewe ni lofa.

Baba Bora huijenga kesho ya watoto wake, hasubiri sijui serikali, sijui kaka yake au ndugu yake. Mtoto akimaliza shule, Baba bora humrithisha mtoto kazi ya kuendesha maisha yake.

Kama ni mkulima, atamrithisha mtoto wake shamba, jembe na ujuzi wa kilimo. halikadhalika na ufugaji, useremala, biashara, shule au mgahawa au mradi wowote ule ili mtoto ajikimu. Lakini unakuta libaba lipumbavu na lofa, kumtunza mtoto halijamtunza, kumsomesha halijamsomesha, halijamrithisha mali yoyote au mradi wowote na ndilo linakuwa la kwanza kuomba pesa. Mimi au Wewe ni mpumbavu na lofa kama ni Baba wa aina hiyo.

Hakuna cha laana hapo, huo ndio ukweli mchungu. Hakuna cha watu kuogopa kuusema, ili watu wabadilike, Baba nikilete upumbavu niambiwe ukweli, sio kukalia hapo mimi Baba, mimi Baba alafu ukiambiwa majukumu ya Baba unakimbia. Pumbavu. Wababa bora hawezi ruhusu watoto wake wakumbwe na mmomonyoko wa maadili. Wababa lazima wawe na misimamo mikali isiyoyumbishwa na mtu yeyote katika malezi. Mtoto ajue kuwa Baba yake sio wa mchezo na mambo ya kipumbavu.

Sio mibaba mipumbavu, ambayo watoto wao iwe wakike au wakiume hawaoni haya kufanya uhuni na upuuzi nyumbani. Utakuta binti anakuambia Baba hana shida twende tuu, Hahaha! Baba mpuuzi huyo ndio hana shida, Baba Bora anashida kubwa sana, huwezi kumfanyia upuuzi ukabaki salama, utapigika, ujengeke, ukikaidi utasagika na kumalizika.

Unakuta Toto limeamua kuwa shoga, Baba anacheka cheka tuu kipuuzi, fukuza hapo nyumbani, kama mama hataki fukuza wote waende huko wanapotetea haki zao, kama serikali ndio itatetea waambie chukueni akae huko. Kama utakuwa bora zaidi Piga risasi au unda njama auawe huyo mtoto. Hakuna kuchezea upumbavu.

Dunia inaharibika kwa sababu wanaume tumekuwa wapumbavu, unanyamaziaje upumbavu kama wewe sio mpumbavu.
Wababa wapumbavu ndio watakubali familia, jamii na taifa lao liwe utumwani. Wababa bora hawawezi vumilia utumwa

Ukiona familia inakufa njaa jua Baba wa hiyo familia ni mpumbavu, huo ndio ukweli. Ukiona nchi yoyote inanjaa ujue nchi hiyo wababa ni wapumbavu karibia wote.

Nchi inakuwaje na njaa wakati ina ardhi ya kutosha, hali ya hewa nzuri, vijana wapo wa kulima, watu wakula wapo wakutosha, sehemu za kuhifahdhia chakula maghala ya chakula yapo, nini kinafanya nchi iinngie kwenye njaa kama sio upumbavu tuu. Kazi uvivu, uzembe, kupenda mambo rahisi kama mademu, kutotaka kutumia akili na sababu zingine za hovyo.

Wababa bora hawafichi wahalifu wezi, mafisadi, wadhulumati, wamwagaji damu zisizo na hatia, na makosa mengine.
Ila Baba wapumbavu ndio wanaongoza kwa kuficha uhalifu wasijue siku moja nao watafanyiwa.

Nimeshasema, huwezi pita anga za Baba bora ukafanya upuuzi wako akakuacha salama, lazima usagike, utaumia tuu, yaani umpe mtoto wake mimba yeye akuangalie tuu, thubutu yake, ati amlaumu binti yake kuwa hakumsikiliza, binti yake atamuadhibu lakini na wewe jiandae lazima usagike na dunia itajua.

Siku hizi wapo makaka malofa na mapumbafu kabisa, kaka anaweza mkuta mdogo wake wa kike amebananishwa uchochoroni, badala achukue hatua kali iwe mfano kwa wengine, looh ndio linakuwa lakwanza kwenda kumshtaki kwa Mama au Baba, Kamata huyo kijana, piga kama unaweza, kama huwezi nenda kachukue vijana wengine rafiki zako, njooni mumpe dawa yake mpaka akili zimkae sawa, musimuue tuu.

Lakini kaka Lofa anasubiri mdogo wake apewe mimba alafu ndio amseme, nilikuambia, sijui sikio la kufa, sijui asiyesikia la mkuu, Kaka bora sio mtu wa misemo bali mtu wa ACTION. Wakati anatongozwa ulikuwa unacheka cheka, sasa akipewa mimba ndio unajifanya unakelele. Dada yako akipewa mimba kabla ya ndoa jua familia nzima imetukanwa, imedhalilishwa, imeabishwa, familia imepewa mimba, Familia bora haiwezi kukubali huo upuuzi, lazima usagike na umenyeke, vinginevyo uoe.

Sio Kukimbilia kuwashutumu Single mother, sijui malaya, jiulize wewe kama mwanaume umefanya nini kuhakikisha dada yako hawi single mother au kutolewa Bikra na wahuni?

Kajaribu kufanya hivyo kwenye familia za kihindi, kiarabu au familia yoyote bora hapa nchini inayojielewa, maji utaita Mma. Kajaribu kufanya hivyo kwenye jamii za Kiyahudi utaeleza kilichomkata Sungura Mkia. Mfano wa Kaka Bora ngoja niwape kutoka kwenye Biblia pale walipoona DADA yao kalalwa(kafanya ngono) na mwanaume mwingine kabla ya ndoa

MWANZO 34:
1Siku moja, Dina, binti yake Yakobo na Lea, alikwenda kuwatembelea wanawake wa nchi hiyo. 2 Basi, Shekemu, mwana wa Hamori, Mhivi, aliyekuwa mkuu wa nchi hiyo, alipomwona Dina, akamshika, akalala naye kwa nguvu. 3 Lakini Shekemu akavutiwa sana na huyo msichana, akampenda hata akaanza kumbembeleza. 4 Kwa hiyo, Shekemu akazungumza na Hamori baba yake, akamwambia, “Tafadhali, niombee huyo msichana nimwoe.”

5 Yakobo akapata habari kwamba Dina, bintiye, alikuwa amenajisiwa na Shekemu; lakini kwa kuwa wanawe walikuwa malishoni, alinyamaza mpaka waliporudi. 6Hamori, baba yake Shekemu, akaenda kwa Yakobo ili azungumze naye, 7 na wakati huohuo watoto wa kiume wa Yakobo wakawa wanarudi nyumbani kutoka malishoni. Waliposikia hayo, vijana hao wakaona uchungu mwingi na kukasirika sana, kwa vile Shekemu alikuwa amewafanyia watu wa Israeli ovu hilo la kulala na binti ya Yakobo, maana jambo hilo lilikuwa mwiko.
8 Lakini Hamori akawaambia, “Mwanangu Shekemu anampenda sana binti yenu. Basi, tafadhali mumruhusu amwoe. 9Acheni tuoane: Nyinyi mtatuoza binti zenu, nasi tutawaoza binti zetu. 10 Kwa hiyo mtaishi pamoja nasi; mtakuwa huru katika nchi hii. Mtaishi humu, mfanye biashara na kujipatia mali.” 11 Hali kadhalika, Shekemu akawaambia baba na ndugu zake Dina, “Tafadhali, mniwie radhi, nami nitawapeni chochote mtakachosema. 12 Niambieni kiasi chochote cha mahari na zawadi, hata kikiwa kikubwa namna gani, nami nitatoa, mradi tu mnioze msichana huyu.”

13Basi, watoto wa kiume wa Yakobo wakamjibu Shekemu na baba yake Hamori kwa hila, kwa kuwa Shekemu alikuwa amekwisha mnajisi dada yao Dina. 14Waliwaambia, “Hatuwezi kumwoza dada yetu kwa mtu asiyetahiriwa. Kufanya hivyo ni aibu kwetu.

15Tutakubaliana nanyi tu kwa sharti hili: Kwamba mtakuwa kama sisi kwa kumtahiri kila mwanamume miongoni mwenu. 16Hapo ndipo tutakapowaoza binti zetu na kuwaoa binti zenu; tutaishi pamoja nanyi na kuwa jamaa moja. 17Lakini msipokubaliana nasi na kutahiriwa, basi, sisi tutamchukua binti yetu na kwenda zetu.”

18Pendekezo lao likawapendeza Hamori na mwanawe Shekemu. 19 Kijana huyo hakusita hata kidogo kutekeleza sharti hilo, kwa vile alivyompenda binti wa Yakobo. Isitoshe, Shekemu ndiye aliyeheshimika kuliko wote nyumbani kwao.

20Basi, Hamori na mwanawe, Shekemu, wakaenda kwenye lango la mji, mahali pa mikutano, wakaongea na watu wao wakisema, 21“Watu hawa ni marafiki zetu. Tuwakaribishe waishi nchini mwetu na kufanya biashara, kwa sababu tunayo nchi ya kututosha sisi na wao pia; kisha tutaoa binti zao na kuwaoza binti zetu. 22Lakini wao watakubali kuishi nasi na tutakuwa jamaa moja kwa sharti hili: Kwamba tutamtahiri kila mwanamume miongoni mwetu kama wao walivyotahiriwa. 23Je, hamwoni kwamba mifugo yao na mali yao yote itakuwa mali yetu? Haya, tukubaliane nao ili wakae pamoja nasi.” 24Wanaume wote waliokusanyika penye lango la mji huo wakakubaliana na Hamori na mwanawe Shekemu. Kisha, wanaume wote wakatahiriwa.

25 Siku tatu baadaye, waliotahiriwa wakiwa bado wana maumivu makali, watoto wawili wa Yakobo, Simeoni na Lawi, kaka zake Dina, walizitwaa panga zao, wakauvamia mji ghafla na kuwaua wanaume wote. 26 Waliwaua kwa upanga Hamori na mwanawe Shekemu, wakamtoa Dina katika nyumba ya Shekemu, wakaenda zao. 27 Baada ya mauaji hayo, watoto wengine wa kiume wa Yakobo waliingia mjini na kuuteka nyara mji huo, kwa sababu dada yao alikuwa amenajisiwa. 28 Walichukua kondoo na mbuzi, ng'ombe, punda na chochote kilichokuwa mjini au shambani.

29 Waliteka nyara mali yote, watoto na wanawake wote na chochote kilichokuwa majumbani.
30 Basi, Yakobo akamwambia Simeoni na Lawi, “Nyinyi mmeniletea taabu kwa kunifanya nichukiwe na wakazi wa nchi hii ya Wakanaani na Waperizi. Mimi sina watu wengi, na kama wakikusanyika kunishambulia wataniangamiza mimi pamoja na jamaa yangu.” 31 Hao ndugu wawili wakajibu, “Ana haki gani ya kumtendea dada yetu kama malaya?”

Kwa leo niishie hapa, pole kwa kusoma andiko Refu.

Ulikuwa nami:
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
0693322300
 
ROBERT HERIEL

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
2,782
2,000
Kwa hio wanaume wasiwe Legelege si ndio?

Kazi kulalamika tuu

Nimetoa Aya hapo chini za Biblia, hawa Wanyandu(wana wa Yakobo) Dada yao alivyoliwa na mwana mfalme. Wala hawakumlaumu dada yao, kilichotokea ni kudili ipasavyo na huyo mwana mfalme na kuua wanaume wote wa mji huo.
Unaona wanaume hao walivyo?

Kuna famillia ukiziletea upumbavu wako umejimaliza mwenyewe

Yaani mtu aachane na mkewe/mumewe kwa sababu yako mpuuzi mmoja, utasagika na utakuwa mfano kwa wengine.

Mke au mume haachwi ila wewe ndio utasagika,

Nimetoa mfano tuu sio wewe;););)
 
0ozg Tz

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
1,765
2,000
Sijausoma wote lakin nimekuelewa,kwel Kuna mianaume kwasasa inakuwa na watoto ili mradi,tena unaikuta ipo ktaa inajsemesha,kuwa na hela bila Mtoto n hasara,wakat watoto kuwatunza haiwez
 
GREENER

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
630
1,000
Ngoja tuone comments za masingo faza leo :D mana kila siku masingo maza ndo wanasimangwa kama walijipa mimba vile, there is no singo maza without singo faza. Povu ruksa kutoka kwa malofa
 
mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
29,299
2,000
Chalii unaandikaga mavitu marefu sana,acha madingi wapige zao puli kiroho safi.
 
Jamaa_Mbishi

JF-Expert Member
Jun 15, 2013
7,908

Japo Wakurya na Wajaluo watakuua wakikukamata ila nakubaliana nawe asili mia moja. Angalia mikoa ya Tabora, Lindi, Mtwara, Pwani, Zanzibar, Kigoma, Kondoa, Muleba, Tanga kwa mfano....kule jamii zao ni za hovyo sana na ukichunguza chanzo utakuta WANAUME hawapendi kufanya kazi, wao wanataka kushinda kuvaa shuka na kanzu tu na kushinda misikitini au chini ya miembe wakinywa kahawa huku wakijadili vitu visivyo na tija maishani mwao na wakiwa wametoka nyumbani hawajuwi wake na familia zao watakula nini, kila kitu wanamwachia mwanamke afanye. Baada ya masaa kadhaa, mwanamme anarudi nyumbani kutaka chakula na kama hakuti ndipo ananza tukana mkewe. Muda umefika waafrika yabidi tuamke, dini zimetuchanganya sana akili mpaka akili zimekimbia baadhi ya kina baba. Mwanamke ni mali sana, tena ukipata wa maana ni sawa na kuishi peponi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom