Binti Aolewa na wanaume wawili Mapacha!

Ndoa ya moja hivi karibuni kutoka katika kabila la WAZULU imekuwa gumzo baada ya Msichana mmoja kuolewa kwa ndoa moja ya kijadi na Wavulana wawili Mapacha kuwa waume zake.
Sasa swali ni kuwa atawamudu wote kwa mpigo katika yale mambo yetu, au watapangiana zamu kama zile za mume mwenye mke zaidi ya mmoja?
View attachment 1013009View attachment 1013006View attachment 1013007View attachment 1013008
Kwa nini asiwamudu, kwani hujui kuwa wanawake wana nguvu sana kuliko sisi wanaume kwenye mambo hayo
 
Dume moja lazima litakufa. Hamnaga mapenzi ya wanume wawili kula sahani mmoja huku wakijuana. Moja lazima ataondoshwa kwa mtego.
 
mambo ya 50 kwa 50 hayo
ngoja na mimi nimtafute pacha wangu twende zetu south.

Maendeleo hayana chama
 
Machuichui na bible wapi na wapi?kyukyuma haitokuwa na likizo fully kushutiwa
 
Hapo mtihani ni nani atakuwa wa kwanza kupata Mambo wakati wa kuhanimunika!...kama kila mmoja akiwa na uwezo wa kupiga 3 jumla 6 kwa pamoja, mara mbili tu mdada hatatamani tena wiki nzima.
 
Hapo mtihani ni nani atakuwa wa kwanza kupata Mambo wakati wa kuhanimunika!...kama kila mmoja akiwa na uwezo wa kupiga 3 jumla 6 kwa pamoja, mara mbili tu mdada hatatamani tena wiki nzima.
Halafu hapo sasa bado kila siku morning Glory 2/2 huko kunako kutakuwa kunavutika kama lastic
 
Back
Top Bottom