SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,753
Tupe mrejesho au ndo ushakuwa ndondocha!
HahahahaDah pole yako cjapati picha utavyofanana baada ya kuwa ndondocha...
HahahahTupe mrejesho au ndo ushakuwa ndondocha!
hahahahaha. perhaps the girl ana karangi kaunjano kidgo jamaa kajua ni muarabu.Hivi waarabu mnawajua au mnawasikia?
watu wa bara wengi mkiopoa hata mnyaturu mnakuja kusema mmepata binti wa kiarabu...
tembea uone
Hivi waarabu mnawajua au mnawasikia?
watu wa bara wengi mkiopoa hata mnyaturu mnakuja kusema mmepata binti wa kiarabu...
tembea uone

Nimebahatika kupata binti mrembo wa Kiarabu kiukweli ananipa mapenzi moto moto/miuno ya kufa mtu lakini sasa kila wiki anadai anaenda kwa mara Mganga wa kienyeji ili watusomee dua ya kutufanya mambo yetu yawe mazuri.
Daah nimejitahidi kumshauri aachane na hayo mambo lakini hanisikilizi. Sasa ametishia kama naendelea kumzingua atamuambia mganga niwe Ndondocha daah!
Nataka nimmwage lakini namwachaje aisee!

hao watu wa asia ni hatari, mi nna kikaka changu cha bangladeshi kinavyonitishaga ukimpa mtu mi ntamfanya hamna, ukitongozwa tu kinakuambia babyy your chating with somebody i dont like stop please. :sly:😀:what:
Hi Mr. NdondochaNimebahatika kupata binti mrembo wa Kiarabu kiukweli ananipa mapenzi moto moto/miuno ya kufa mtu lakini sasa kila wiki anadai anaenda kwa mara Mganga wa kienyeji ili watusomee dua ya kutufanya mambo yetu yawe mazuri.
Daah nimejitahidi kumshauri aachane na hayo mambo lakini hanisikilizi. Sasa ametishia kama naendelea kumzingua atamuambia mganga niwe Ndondocha daah!
Nataka nimmwage lakini namwachaje aisee!
Mzee umeua
mkuu afadhari wewe, mimi kuna dem nilimsaundisha nikaleta zile swaga za HIT AND RUN kumbe dem mganga wa kienyeji.... mbilinge ninalokumbana nalo sasa sio la sayari hii.

Hivi waarabu mnawajua au mnawasikia?
Watu wa bara wengi mkiopoa hata mnyaturu mnakuja kusema mmepata binti wa kiarabu...
Tembea uone