Nimebahatika kupata binti mrembo wa Kiarabu kiukweli ananipa mapenzi moto moto/miuno ya kufa mtu lakini sasa kila wiki anadai anaenda kwa mara Mganga wa kienyeji ili watusomee dua ya kutufanya mambo yetu yawe mazuri.
Daah nimejitahidi kumshauri aachane na hayo mambo lakini hanisikilizi. Sasa ametishia kama naendelea kumzingua atamuambia mganga niwe Ndondocha daah!
Nataka nimmwage lakini namwachaje aisee!
Hivi waarabu mnawajua au mnawasikia?
watu wa bara wengi mkiopoa hata mnyaturu mnakuja kusema mmepata binti wa kiarabu...
tembea uone
Nimebahatika kupata binti mrembo wa Kiarabu kiukweli ananipa mapenzi moto moto/miuno ya kufa mtu lakini sasa kila wiki anadai anaenda kwa mara Mganga wa kienyeji ili watusomee dua ya kutufanya mambo yetu yawe mazuri.
Daah nimejitahidi kumshauri aachane na hayo mambo lakini hanisikilizi. Sasa ametishia kama naendelea kumzingua atamuambia mganga niwe Ndondocha daah!
Nataka nimmwage lakini namwachaje aisee!
Mweee!!!! Mmmmmmh!!
Hakuna ukweli kwenye hili na hata story yenyewe, Haya mambo tulikuwa tukisimuliana vijiweni Enzi hizooo