Nunc dimittis
JF-Expert Member
- Oct 19, 2018
- 1,141
- 778
duh!!!!!Wakuryaa hata akiwa mpolee Kupiga mwanamke ni principle..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
duh!!!!!Wakuryaa hata akiwa mpolee Kupiga mwanamke ni principle..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kanda maalum iliwekwa sababu ya fujo za uchaguzi kipindi hicho. Haina uhusiano wowote na kabila.-Hivi kinachowafanya wakurya wengi wawe na hasra ni nini?
-Hivi tumejiuliza kwanini wao wawae wa kwanza kuwekewa kanda maalumu ya kipolisi ukiacha Dar???
pole sana mkuu... naelewa situation uliyoipitia ... hata mimi nadhani huyu mtoto alikuwa influenced na either ndugu au wazazi wake... ndio maana akaamua kunipiga chini.
hyo ndio picha inayoonesha kuwa bado tuna poor mentallity ya kujudge mambo, kwa sababu unakuta anaamua kukuacha eti kisa we ni mkurya alafu mwishowe anapoenda kuolewa yanayomkuta anaanza kukumbuka mkurya wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
yeah the best revenge ni mafanikio tu mkuu.Na hii huendakuwa ingeleta mtafaruku baadae kwenye ndoa. Mume usikilizwi.. wanasikilizwa wazazi tu. Ndio kilichokuwa kinafuata.
So nimespend muda mwingi sana ku analyze kilichotokea nikaona hakuna jib la moja kwa moja.
Nikaamua kukaa kimya.. ila nilimuahidi kitu kimoja. Tutakutana ..ila nikiwa level zingine kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
hata siku moja siwez ficha kabila langu...Mwambie mkurya upande wa Mama
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wagalaileyu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuki kwa nguruwe mbona mnasemaga wachagga hawafai kuolewa na wamekaa kimya wanapambana na kabila lao??? Pambana na kabila lako bro mi mwenyewe mademu wananiambiaga wahaya tuna tabia mbaya so na mimi na pambana na kabila langu na sioni tabu kumwambia mtu kwamba mimi ni muhaya kama hataki asepe tu.
Masai nna historia na nyie [emoji85]Broo huyo aliyekukataa usimchukie mpende na mfanye rafiki Wa karibu,, then mtafute mwingine asiyejali kabila wala ukoo then mwonyeshe kwamba wewe ni best man kuliko, yule aliyeyekukataa hope atajutia nafasi..
Ndio maana sisi wamasai hatushoboki na watoto Wa dar,
Wa kimasai watutoshaa
Hmm hamna kitu hapo.Wanaume pekee waliobaki na soko ni wasukuma tu.
Demu ukimwambia mi msukuma ,utasikia jamani wasukuma wanajua kupenda na dushelele kubwa!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo dada zake wamenyofolewa Antenna na hapo ndipo mawazo yanapoanza...jiongeze broShut up,oa kwenu kuna wasichana wazuri tu!
Wewe umeona ubaguzi wa huyu dada,lakini huoni ubaguzi wako kwa dada zako wa damu wa nyumbani kwenu?
Ubaguzi ni both ways!
Watunuku dada zako nao wajisikie unawajali wewe!
Wakuryaa hata akiwa mpolee Kupiga mwanamke ni principle..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa tunafanyaje marekebisho wakati wewe tayari ushahukumu wakurya wote, kwa kosa la bwana'ako
hacha kupotosha watu... usijifanye wewe ndio expert wa kujua na ku-analyze mambo haya, roho inakuuma pale ulipoona positive comment juu ya wakurya, inakupaswa umhukumu mtu kutokana na matendo yake haijalish ni wa kabila gani...Nakuombea Mungu akupe haja ya moyo wako!
Ila nakuomba utakapompata na kuoana baada ya muda wa miezi kadhaa tafadhali usije sahau kutupatia mrejesho wa mahusiano yenu ya ndoa!
Kwiva mndele unasekujala bwawe!
Kindedi Mnyika n ngogwe heukusila kasungu mna ao wagosi wa uko watendesa mno!
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe ndio jambazi wa fikra, a closed minded person...Kimsingi anakuwa si mpole bali mkimya!
Ipo tofauti kati ya mtu kuwa mpole na kuwa mkubwa mkimya!
Tena tofauti kubwa sana!
Watu wengi waliingia mkenge kuingia kwenye mahusiano kwa kuzani mtu fulani ni mpole kumbe siyo bali ni mkimya!
Majambazi wote marangingi ni wakinya!
Huo mfano mdogo nimetoa!
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe ndio jambazi wa fikra, a closed minded person...
wewe una chuki binafsi na wakurya, una poor perception na judgementz za utumbo.
kwa hyo wakurya ndio kabila ambalo watu wanajifanya wapole kumbe ni wakimya tu?!!
acha ulimbukeni na usipoteshe jukwaa.
Sent using Jamii Forums mobile app