Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,659
- 55,927
Sakayo inazekana walioendana . Ila wazaz waka wakasimamia. Hii kitu imenitokea ..nilikataliwa na wazaz wa mchumba by then.Huyo hakukupenda! Upendo wa kweli hauna ubaguzi!
Hawanijui.. ndio kwanza wananiona. Ila nilipotaja kabila.. wakaangalia pembeni.
Wakamuonya mtoto wao.. baadae binti aka force tuachane..nikasema powa japo kishingo upande.
Sent using Jamii Forums mobile app