Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,428
- 11,850
hacha kupotosha watu... usijifanye wewe ndio expert wa kujua na ku-analyze mambo haya, roho inakuuma pale ulipoona positive comment juu ya wakurya, inakupaswa umhukumu mtu kutokana na matendo yake haijalish ni wa kabila gani...
hilo kabila lako lina gani thamani kubwa kuona ya wengine hayafai, au unadhani hakuna wanaume wa kabila lako ambao hawajawahi kupiga wenzi wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa ni moja tu kubadilika ili wale wanaowazunguka wa proof wrong kile kinachosemwa!
Taarifa kupitia takwimu mbali mbali zimekuwa zikionesha kuwa mkoa wa mara kuwa kinara wa unyanyasaji wa kijinsia n.k
Sasa kama kubisha kabishie takwimu!
I am psychologically matured enough siwezi kubabaishwa na mapovu yako !
Karibu kwa majadiliano zaidi!
Sent using Jamii Forums mobile app