Binti amekataa uchumba na mimi, kisa kabila langu

Binti amekataa uchumba na mimi, kisa kabila langu

Wanawake nipasua kichwa sana...

Unamwambia nije kwenu nitoe mahali,anagoma anasema sipo tayari kwa sasa,nikiwa tayari nitakuambia...

Oky ngoja nianze mahusiano mapya sasa,anakujibu nitaumia lakini maumivu yangu yataisha nakupoa....
Yaani sijui tu nani aliwaloga hawa viumbe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu binti sikuwahi kumfanyia ukatili wowote.... ilitokea tu basi, mda mwingine ni ushawish na ulimbukeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, mtu anaweza akawa karibu yako kutokana na vitu unavyomfanyia tu au wakati mwingine anaufurahia urafiki wenu ila anajua ndoa na wewe hapana.Sasa siku ukitaka kuchumbia ndio anatafuta sababu.

Wewe mshukuru Mungu ameonesha hakupendi, usiforce ndoa.
 
Fallacy of false generalization. Ni kama mtu mmoja angeshuhudia hilo tukio then aseme kabila la baba yako ni wakorofi wanapiga wanawake!


- KANA -
-Hivi kinachowafanya wakurya wengi wawe na hasra ni nini?
-Hivi tumejiuliza kwanini wao wawae wa kwanza kuwekewa kanda maalumu ya kipolisi ukiacha Dar???
 
Back
Top Bottom