Binti amekataa uchumba na mimi, kisa kabila langu

Binti amekataa uchumba na mimi, kisa kabila langu

Wakurya sio wakorofi ki vile but ni Wanaume wanojiamini sana, They are so lovely I had one before..... nilienjoy mno

Sisemei uongo ni watu wanaojali sana wenzi wao, au wapenzi wao, Wadada tunashindwana na hawa watu coz hawapendi longo longo kama kitu ni YES ni Yes kama ni NO ni No...... I missed my Mkurya jamani
ndo yule aliyekutapeli?
 
sio kila mwanaume wa kikurya ana mpiga mke wake.... kuna wanaume wa kabila lako wanapiga wake zao...ila kwa sababu sio wakurya ..then sio headline.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yangu pole...mbona Wakurya wameoa adi wazungu ? dada anaesema hivyo jua kua ni limbukeni wa kutumia hear say na hana anachokijua katika jamii. Muuliza kama dingi yake hajawai kumpiga Mama yake
 
Acha kupaniki wewe!

It shows una-feel guilty kuambiwa ukweli unaacha dada zako unmarried!

Kuoa ni deliberate decision usiniletee sijui tumekutana barabarani,upumbavu mtupu unaongea

Wewe umefanya deliberate decision ya kuacha dada zako wako unmarried na kwenda kuoa wengine as if wao sio wanawake who raised you with everything they got,plus,they do share ancestors with you!

Anaetakiwa kuwaza ni wewe mjinga in such a way unaacha women who look like you,who desperately gave their life for you and need you to help them with marriage,but your selfishness was so big and went to marry from your competitor!

This shows,you hate your people so much,meaning you actually hate yourself and your origins,whereby you want so bad to be like your competitor,and in order at least to be close,you went to marry their women!

The highest sacrifice you can do as a man is to marry and commit to a woman you share origins with and who gave you life!

Tabia ya kipumbavu sana hii kudharau dada zako this much!
Mkuu, wewe umeoa dada zako?

- KANA -
 
Yani hawa mabwana unawezakuta ameoa mke ,
Mwanaume wa kikurya anachepuka tena kwa majidai!
Mke akigundua na kuanza kumuuliza kulikoni ?
Eti badala ya mwanaume kujishusha na kuonesha kuwa kweli amekosea badala yake atakuja juu na kuanza kumbutua mkewe kwa kipigo kizito!
Mwanaume umechepuka na ushahidi upo wazi kwanza hilo ni kosa kubwa sana,
Badala ya kuonesha kusikitika na kuomba msamaha na kuahidi kutokurudia ,
Eti badala yake anampiga mkewe tena, Yaani mwanamke anapata maudhi juu ya maudhi!

Aaah hao jamaa ni noma aisee?!




Sent using Jamii Forums mobile app
Haya tuambie kabila ambalo halina michepuko. Yani unatumia sampling ya tukio moja kujudge kabila zima?

- KANA -
 
Ndugu yangu pole...mbona Wakurya wameoa adi wazungu ? dada anaesema hivyo jua kua ni limbukeni wa kutumia hear say na hana anachokijua katika jamii. Muuliza kama dingi yake hajawai kumpiga Mama yake
Kuna tofauti ya vipigo ndugu yangu, u kweli hata babangu sio mkurya na nimewah kumshughudia akimpiga mamangu lakini ilikua ni kama kumuadabisha tuu kidogo, lakini kurya man loooh!! Hadi ukalazwe hospital yaan anakukomesha halafu kwa vimakosa vidogo vidogo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna tofauti ya vipigo ndugu yangu, u kweli hata babangu sio mkurya na nimewah kumshughudia akimpiga mamangu lakini ilikua ni kama kumuadabisha tuu kidogo, lakini kurya man loooh!! Hadi ukalazwe hospital yaan anakukomesha halafu kwa vimakosa vidogo vidogo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Fallacy of false generalization. Ni kama mtu mmoja angeshuhudia hilo tukio then aseme kabila la baba yako ni wakorofi wanapiga wanawake!


- KANA -
 
Fallacy of false generalization. Ni kama mtu mmoja angeshuhudia hilo tukio then aseme kabila la baba yako ni wakorofi wanapiga wanawake!


- KANA -
Kila MTU ana mapungufu yake lakini kwa kurya tribe nimeshughudia mengi kwene TV, mitandao, na Mimi binafsi nimeshuhudia hayo, sisemi wote ni wakorofi lakini asilimia kubwa hawana utu kabisa, they speak so kind, politely but in action they are so rude

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wale vijana wenzangu wa KURYA, mnafahamu challenges za hawa watoto tunavyokuwa tunawapproach baada ya kuwa wamejua kabila letu.

eti utasikia...

- "ooh wakurya ni wakorofi"

- "ooh wakurya wanapiga wake zao"

The fact ni kwamba, kama mwanaume ana mkono wa kukupiga au uwezo kukupa wakati mgumu, haijalishi atakuwa ni wa kabila gani..

mfano:

1.SOUTH AFRICA: mamphista aliyempiga baby wodumo ni mkuryaaa??!

2.USA: Jonny depp aliyempiga amber heard ni mkurya??!

3.UK/USA: stephen belafonte aliyempiga mel b ni mkurya??!

ETC....

Tukianza kuchambua wenzi kutokana na makabila yao hakuna atakaye baki salama...ndiyo naelewa kuna negativities mbali mbali ambazo zimeacha marks katika makabila yetu, lakini haimanishi sio kila mtu anabeba hizo negativities zote.

Muda mwingine unakuta tu kabinti kameona hauna pesa za kutosha, hauna uwezo anao utaka yeye au kigezo kingine anachotaka yeye...anaamua kuja na kisingizio cha kabila.

"IT IS BETTER TO RISK SAVING A GUILTY MAN THAN CONDEMN AN INNOCENT ONE."

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta tu mkurya mwenzako mkuu mtaenda sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuki kwa nguruwe mbona mnasemaga wachagga hawafai kuolewa na wamekaa kimya wanapambana na kabila lao??? Pambana na kabila lako bro mi mwenyewe mademu wananiambiaga wahaya tuna tabia mbaya so na mimi na pambana na kabila langu na sioni tabu kumwambia mtu kwamba mimi ni muhaya kama hataki asepe tu.
Umeongea ukweli mkuu ila hata hivo haya. Mambo muda mwingine ni kukosa tu uelewa maana tabia ni ya mtu siyo ya kabila

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mr. Financial. Mm nilipigwa chini sababu ni kabila fulani.
Siku na kosa lolote.. sikuwahi kumzingua. We were just fine until ilipofika siku ya kwenda kwao. Mama mzaz akamwambia hataki hiyo kabila. Hapo hapo mtoto akaanza kujiachisha kwanguv. Ni kitu kinaniuma kila nikumbuka.
Mi nafikir, the best way;.. ukishakutana na mtu ukaona ni special kwako, nafikir kitu cha msingi ni kufanya research juu ya familia yake, kama vile kiimani..kiafya..etc lakini unapokuwa na duku duku na kushusha imani na mtu eti kisa sijui ni mkurya, mkinga, mhaya, mzaramo, mmasai, n.k.. coz unaweza pata wa kabila unalopenda au unaloona linafaa, ukakuuta challenges nyingi tu na ukajuta for the rest of your life.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom