Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,284
- 40,903
Mshukuru Mungu kwa kila jambo inawezekana amekuepusha na jambo fulani,so usiumie walakulazimisha sana mkuu
ameeen.... ahsante mkuu.Mshukuru Mungu kwa kila jambo inawezekana amekuepusha na jambo fulani,so usiumie walakulazimisha sana mkuu
Kwanin ni the best?Ningekuwa sijaolewa the best kabila kuolewa nalo ni WAKURYA nadhani.
aah wapi... mbwe mbwe tu...kwani unakuta unaoa kabila lote. kisago na masimango yapo haijalish mtu ni wa kabila gani.ila kuna makabila mengine hapana kwa kweli.
hahahaha.. yawezekana mkuu... maana kuna demu mwingine anataka umuwekee ndani akute sofa set, gari ya kutembelea na umfungulie biashara ya kuuza urembo... hahah[emoji23][emoji23][emoji23]utakua hauna hela
Btw tafuta kabila lako ili isiwe shida
Ndo hvyo mkuu jipinde uwe navyohahahaha.. yawezekana mkuu... maana kuna demu mwingine anataka umuwekee ndani akute sofa set, gari ya kutembelea na umfungulie biashara ya kuuza urembo... hahah
Sent using Jamii Forums mobile app
viko vya kutosha... niemjipanga mtoto wa kiume.Ndo hvyo mkuu jipinde uwe navyo
Mkuu wamachame ni tabu eeh!Wahaya na wachaga sizan kama kuna sehem hayakubaliki... Kwanza yamezoeleka... Labda inakuwa ngumu kwa wale wa machame
Ndio mkuu! Watu wanaogopa kupigwa chini
ahsante mkuu.... very motivatingBroo huyo aliyekukataa usimchukie mpende na mfanye rafiki Wa karibu,, then mtafute mwingine asiyejali kabila wala ukoo then mwonyeshe kwamba wewe ni best man kuliko, yule aliyeyekukataa hope atajutia nafasi..
Ndio maana sisi wamasai hatushoboki na watoto Wa dar,
Wa kimasai watutoshaa
haha... wataanza kusema chris brown ni mkuryaNa chris brown aliempigaga Rihanna nae pia mkurya
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama lipi wila kuna makabila mengine hapana kwa kweli.