Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,384
- 5,617
- Thread starter
- #141
aya sasa....tayari nimeandika meseji tu ya kukwambia ukweli.... tayari umeshapanick na kumniita mkorofi n kunitungia jina (lijitu)
sasa nani mkorofi hapo, mimi mkurya naye jaribu kukuambia kweli au wewe mkabila unaeanza fitna.
Sent using Jamii Forums mobile app
you are cheap.Au ndo wewe nn miaka ya 2015 ulinisumbua sana, hata huu mwandiko unafanania
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaha, naona unaendelea kutengeneza filamu za series kuhusu mimi.
Kwa wakurya wangapi mkuu? Au huyo mmoja alitosha kupata hitimisho kuhusu wakurya wote?Hujamalizia kusoma na Mimi mwenyewe nimeyashuhudia, nimeyaish hayo maisha
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Au ndo wewe nn miaka ya 2015 ulinisumbua sana, hata huu mwandiko unafanania
Sent using Jamii Forums mobile app
a precise but meaningful questionKwa wakurya wangapi mkuu? Au huyo mmoja alitosha kupata hitimisho kuhusu wakurya wote?
- KANA -
hahahaha, naona unaendelea kutengeneza filamu za series kuhusu mimi.
nasubiria reply yako (episode nyingine)
Sent using Jamii Forums mobile app
nashukuru umepunguza ujinga, sasa unaongea kama binadamu.
Ningekuwa sijaolewa the best kabila kuolewa nalo ni WAKURYA nadhani.
ahsante...karibuni ukuryani, msihangaishwwe na maneno ya tv na redio.
Hahahahh, ukiona hivyo ujue tumeelewana,nashukuru umepunguza ujinga, sasa unaongea kama binadamu.
kwa sasa sio mchumba tena, natumain atapata yule anaehisi anamfaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza hasira sasanashukuru umepunguza ujinga, sasa unaongea kama binadamu.
kwa sasa sio mchumba tena, natumain atapata yule anaehisi anamfaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
ahsante...karibuni ukuryani, msihangaishwwe na maneno ya tv na redio.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu amekutafutia sababu.
Kama angekua amekupenda asingejali kabila lako.Upendo haubagui.