Lily Tony
JF-Expert Member
- Feb 6, 2019
- 3,319
- 4,369
😂😂 siri yngKama lipi w
😂😂 siri yngKama lipi w
poa banaà ½Ã¸à ½Ã¸ siri yng
ila kuna makabila mengine hapana kwa kweli.
kweli kbs mkuuHii hata kwa wanaume pia, kuna makabila inabidi unyooshe mikono juu na kusepa, wengine hata kuwa nao kama GF baadhi huofia.
Kila mtu apambane na mapungufu ya kabila lake 😂😂😂😂
Duh! Mbna wangu mmachame sasa wana shida gan kwani mkuu?Wahaya na wachaga sizan kama kuna sehem hayakubaliki... Kwanza yamezoeleka... Labda inakuwa ngumu kwa wale wa machame
kweli mkuu... isiwe ishuu.. tuwaachie waendelee ku-google makabila wanayoyataka wao.Kila mtu apambane na mapungufu ya kabila lake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
umeona eeh! hebu waulize wewe... kwa sababu kuna watu hapa wanajifanya wana kipaji cha kuchambua makabila mazuri na mabaya...Duh! Mbna wangu mmachame sasa wana shida gan kwani mkuu?
Na ni mwaka wa sita huu tuko pamoja na mmachame wangu japo ugomvi wa hapa na pale kibinadamu haukosekaniumeona eeh! hebu waulize wewe... kwa sababu kuna watu hapa wanajifanya wana kipaji cha kuchambua makabila mazuri na mabaya...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wale vijana wenzangu wa KURYA, mnafahamu challenges za hawa watoto tunavyokuwa tunawapproach baada ya kuwa wamejua kabila letu.
eti utasikia...
- "ooh wakurya ni wakorofi"
- "ooh wakurya wanapiga wake zao"
The fact ni kwamba, kama mwanaume ana mkono wa kukupiga au uwezo kukupa wakati mgumu, haijalishi atakuwa ni wa kabila gani..
mfano:
1.SOUTH AFRICA: mamphista aliyempiga baby wodumo ni mkuryaaa??!
2.USA: Jonny depp aliyempiga amber heard ni mkurya??!
3.UK/USA: stephen belafonte aliyempiga mel b ni mkurya??!
ETC....
Tukianza kuchambua wenzi kutokana na makabila yao hakuna atakaye baki salama...ndiyo naelewa kuna negativities mbali mbali ambazo zimeacha marks katika makabila yetu, lakini haimanishi sio kila mtu anabeba hizo negativities zote.
Muda mwingine unakuta tu kabinti kameona hauna pesa za kutosha, hauna uwezo anao utaka yeye au kigezo kingine anachotaka yeye...anaamua kuja na kisingizio cha kabila.
"IT IS BETTER TO RISK SAVING A GUILTY MAN THAN CONDEMN AN INNOCENT ONE."
Sent using Jamii Forums mobile app
shut up na wewe pia, nani amekwambia nimekataa wa kwetu... kwahyo inamaanisha nikikutana na binti yoyote nimuulize kama ni mkurya wa kwetu.Shut up,oa kwenu kuna wasichana wazuri tu!
Wewe umeona ubaguzi wa huyu dada,lakini huoni ubaguzi wako kwa dada zako wa damu wa nyumbani kwenu?
Ubaguzi ni both ways!
Watunuku dada zako nao wajisikie unawajali wewe!