ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,280
- 5,989
Wazazi wako waliokuwa wanasikiliza radio Tanzania dsm ni wajima? Je wazazi wako ni vihiyo hawana maono? Mzazi wako anaposikiliza nyimbo za akina sikinde, rwambo, marvine gaye, sosoliso ni vihiyo na wajima?Bila shaka utakua ni mtangazaji wa TBC, hili shirika bado liko kwenye ujima. Viongozi vihiyo wasiokua na maono ndio maana mpaka leo hii wanaendelea na vipindi vya miaka 1990's.