Dj EllySaa kumi usiku ulikuwa unafanya nini? Ulijuaje usiku huo Kuna kipindi clouds cha dj elly watu wanatumiana salamu.
Wewe kelvin x na dj elly nani mjuzi wa mambo?
Swali moja bado. Usiku wote ule ulikuwa unafanya nini? Huzimi radio usiku upate usingizi?Dj Elly
Hutoka usikie mtu anapiga simu kutoka moshi, marangu,rombo,mwika,kibosho,uru,oldmoshi,same,au machame. Utaskia kakonko,katavi na sumbawanga. Jiulize kwanini?Hivi ni kwanini usimtumiane hizo salamu kwa SMS au whatsapp..?
maswali gani tena haya aisee?Swali moja bado. Usiku wote ule ulikuwa unafanya nini? Huzimi radio usiku upate usingizi?
Unajisomea?
yani JF ya sikuizi imejaa hoja na miandiko yakipuuzi tupu.
Hivi ni kwanini usimtumiane hizo salamu kwa SMS au whatsapp..?
Hayo majina utayasikia radio one matangazo ya vifo mkuu, so ngoma droo na hao wa Kakonko,katavi na Sumbawanga.Hutoka usikie mtu anapiga simu kutoka moshi, marangu,rombo,mwika,kibosho,uru,oldmoshi,same,au machame. Utaskia kakonko,katavi na sumbawanga. Jiulize kwanini?
Hivi ni kwanini usimtumiane hizo salamu kwa SMS au whatsapp..?
Hutoka usikie mtu anapiga simu kutoka moshi, marangu,rombo,mwika,kibosho,uru,oldmoshi,same,au machame. Utaskia kakonko,katavi na sumbawanga. Jiulize kwanini?
napenda kutuma salamu kwa familia yangu nipo nayo hapa mbeya ahahaakuna kipindi clouds cha dj elly saa kumi za usiku eti watu wanatuma salamu cha kushangaza wana salimiana wenyewe kwa wenyewe
Afadhali umesema maana kwa sasa kila mtu anakuja na lake hata kama halifanani.yani JF ya sikuizi imejaa hoja na miandiko yakipuuzi tupu.