Hapana, simaanishi hivyo mkuu.kwaio mkuu unaweza kaaga kwenye redio all day long kusubiri uskie ukisalimiwa?
Usipende kuonyesha upumbavu wako kwenye hadhara, kama haujui jambo nibora ukalikalia kimya na upite polepolekabisa wanakera sana afu haya mambo ya kutumiana salamu radioni yapo afrika tu! huu m_bara wetu bhana dah! sjui nani kaanzisha huu utoto
Huyu mpuuzi haja tembea tu aiseeee......Utoto huo ndo unauona Leo!!
Sisi waafrika, bado kuna vitu vya kipekee kwetu ambavyo vitaendelea kuwepo mpaka mwisho wa dunia hii.
Kutuma salamu redioni ni moja ya desturi zetu waafrika tangu enzi na enzi.
Usipende kuonyesha upumbavu wako kwenye hadhara, kama haujui jambo nibora ukalikalia kimya na upite polepole
Nawe huwasikiliza?kuna kipindi clouds cha dj elly saa kumi za usiku eti watu wanatuma salamu cha kushangaza wana salimiana wenyewe kwa wenyewe
nazan anamanisha kutuma salam kwa kipind iki ambacho meanz za kuwasiliana zipo nying ...masimu kibao bei cheeeee...still mtu anatuma salam na vipind ivyo baadhi ya redio bado vipoKila jambo lina wakati wake mkuu...
Kipindi kile hiyo ndio ilikua fashion, na ili kuonekana mjanja kwenye jamii inayo kuzunguka kwamba umesikika redioni.
Siku zile watu wengi hawakua na simu pia teknolojia haikua juu kama leo hii.
Wewe unaona kama ni ushamba kwakua tu, umebahatika kukua kipindi ambacho teknolojia ime tamalaki.
yaani kweli unaamka saa kumi za usiku kucheza kidali poo cha salamu? SMFHNawe huwasikiliza?
Wa join kwa maana hamna mbaya, ni salamu tu!
Au ulitaka muda huo watangaze taarifa ya habari ya kupanda kwa bei ya sukari.
Ushamba ni nini na umjini ni nini? Sisikilizagi ni Ushamba au ni umjini? Ukintumia ni Ushamba au ni umjini? Bora kuwa mshamba kuliko kuwa limbukeni.hahahhhaa Don nakuunga mkonyo kabisa. ni ushamba na kuppoteza muda tu.mi sisikilizagi redio sasa ukintumia salamu halafu hainifikii maana ake nini?
Saa kumi usiku ulikuwa unafanya nini? Ulijuaje usiku huo Kuna kipindi clouds cha dj elly watu wanatumiana salamu.kuna kipindi clouds cha dj elly saa kumi za usiku eti watu wanatuma salamu cha kushangaza wana salimiana wenyewe kwa wenyewe
Radio station zote Kuna vipindi vya salamu.nazan anamanisha kutuma salam kwa kipind iki ambacho meanz za kuwasiliana zipo nying ...masimu kibao bei cheeeee...still mtu anatuma salam na vipind ivyo baadhi ya redio bado vipo