Binamu Nyama ya Hamu..

Binamu Nyama ya Hamu..

wakuu mbona Waarabu wanaoana mtoto wa ma mdogo na wa ma mkubwa. mtoto wa ba mdogo na wa ba mkubwa . na huyo binamu ndiyo kabisaa

Kasie we mpe tu aondoe nuksi huenda kapigwa sana kibuti na mabinti.
Hata mimi nakuunga mkono ndugu, unajua Afrika pamoja na Tanzania tunapoteza Asili yetu kwa kuwafuata hawa Wazungu , kuwanyeyekea na kuwatii kana kwamba kila wanachokifanya kiko sahihi 98% kumbe sio!. Kumuoa binamu yako ni sahihi coz hata mila la Tanzania zinaruhusu ufanye hivyo labda nyie wenyewe mshindwe tu kufikia maamuzi ya kukaa pamoja kama mke na mume. Narudia tena kwamba ni halali kuomua au kuolewa na Binamu yako. Tafakari kwa kina na Uchukue maamuzi sahihi, sisi ni washauri tu ila maamuzi ni yenu nyie wawili.
 
Changamka bwn mtoto wa mbagala.
Kwani ataondoka nayo? Kuwa na huruma na mwenzako aisee.
Hahahahaaa siuzi mimi wala sitoi bure..... naibana bana nije kula na dash dash wangu....
 
tam tam .kwani binaamu ni kikwazo,sisi kwetu hamna shida,bali kuzini ndio shida.
wapemba binamu na wpawa twaowana tuu.
 
Hapana....

Basi ww unanifaa mtu kama mm.. sio vitoto vidogo.. mtu mzima atleast 30 yrs hv.. ndio anawasha engine yako to full power...!! Hao vivulana watakugusa gusa tu..
 
Back
Top Bottom