Kasinde sisi wanaume tuangalie tu hivihivi hautatumaliza, tuna mambo ya ajbu sana ambayo wakati mwingine hauwezi kuamini. Nnachoweza kukushauri, usiweke nae uadui. Nnachoamini hawezi kukubaka, ila nenda nae kwa tahadhari sana.
Kumtenga kimawasiliano hitaleta afya na itamfanya awe ni mtu wa kutaka kulipiza kisasi iwe kwa nyama au kwa mengine.
Unaweza kushangaa ukamsaidia kuondokana na hizo fikra potofu kwa kuwa nae karibu, hapo atajua kumbe kweli hauna tatizo ne isipokua tu huo mpango wake wa Singeli mpya ya hainaga ubinamu.