pole sana,
huyo binamu hata baada ya kujua wewe ni binamu yake na bado akataka,basi ni baradhuli huyo,hafai kuwa mumeo,labda ndio zake,anawaparamia dada zake na binamu zake ndio maana haogopi.......🙁🙁🙁🙁🙁
wakuu mbona Waarabu wanaoana mtoto wa ma mdogo na wa ma mkubwa. mtoto wa ba mdogo na wa ba mkubwa . na huyo binamu ndiyo kabisaa
Kasie we mpe tu aondoe nuksi huenda kapigwa sana kibuti na mabinti.
At fifties wanawake hamu inaongezeka
ndo maana wanahonga vijana
subiri uone
toka kwa Nyerere hadi kwa Madiba, halafu akaambulia kelebu, 🙂 🙂 kaaaaazi kweli kweli

Edo Kumwembe jana kaenda SA, na ana miaka kama 40 hivi...ukijumlisha 10 years unaweza kupata 50 years ambayo inaweza kuwa miaka ya Kasie!
(Just joking...)
kasie mwendo kasiiiiDuuuh! watu tunatofautiana kweli kweli, hiyo papuchi ya kuifungia safari yote hiyo ina kiyoyozi nini?
well u could atleast give him a chance to express himself in an orderly manner & not you kumkeleb. Sasa what u have created is hatred. Belive me!He is my cousin..... my relative. ... how could I. ... I just can't. ...
Kasie.
well u could atleast give him a chance to express himself in an orderly manner & not you kumkeleb. Sasa what u have created is hatred. Belive me!
Thanks best friend. ..
You are warmly welcome mrembo. Usiogope kiserengeti boy ila kikinogewa na shughuli zako kinaweza chonga mzinga.
I understand your point of view kabisa. Ila mtu kakufungia safari all the way only kuambulia keleb. Sawa hakuonyesha heshima ila what if he was blinded with love & the affection he has for you. Wanaume tukipenda tunakuwaga wajinga sana. And its not likely wanaume kupenda. Mi ningekushauri ungetumia a different approach. Ungemketisha chini in a bonding way lakini kumueleza vitu sensible na hasa hisia zako kwake ni kuwa kama ndugu. Atleast mge-air out hizi mambo. Ila right now umezua balaa jingine la chuki na majuto kwa huyu kijana.I don't care.... He show no manners to me on the first place.... how could he start to think to have sex with me... A cousin. .. A relative...
I understand your point of view kabisa. Ila mtu kakufungia safari all the way only kuambulia keleb. Sawa hakuonyesha heshima ila what if he was blinded with love & the affection he has for you. Wanaume tukipenda tunakuwaga wajinga sana. And its not likely wanaume kupenda. Mi ningekushauri ungetumia a different approach. Ungemketisha chini in a bonding way lakini kumueleza vitu sensible na hasa hisia zako kwake ni kuwa kama ndugu. Atleast mge-air out hizi mambo. Ila right now umezua balaa jingine la chuki na majuto kwa huyu kijana.