Hongera kwa kujitambuaWaalaah hapati chochote ntafanya kitu kingine ila si kulala na binamu yangu wa kiume.... naah
HaaahaNaona kuna haja ya kuogea maji ya bahari yaliyochanganywa na magadi pamoja na ndimu...Nauli kwenda na kurudi ni kama 1.5M na kitu...sijui angepata mbunye ngapi kama angeziwekeza pale Hyena Stadium?
...eti hyena stadium ww mtu umejua kunichangamsha mbavu zangu daaaaaahTaratibu Mkuu...hizo mbavu zina kazi nyingine nje ya JF😀😀😀😀😀😀Haaaha![]()
![]()
![]()
![]()
...eti hyena stadium ww mtu umejua kunichangamsha mbavu zangu daaaaaah
Kasie njoo utupe mrejesho ule ushauri wetu tuliokupa uliufanyia kazi? Natanguliza shukrani mkuuAsante
Kasie njoo utupe mrejesho ule ushauri wetu tuliokupa uliufanyia kazi? Natanguliza shukrani mkuu
Ile kelbu uliyompiga hataisahau... Ila Mimi Niko pamoja na wewe uamuzi uliochukua ulikuwa wa busara sana ✊ japokuwa ilikuwa fedheha kwakeLooh tangu 2016...!!??
Binamu alishaoa sasa hivi anapambana na familia yake, naona kipindi kile alishikwa na mfadhaiko halafu alikuwa domo zege kutongoza wanawake wengine huko duniani.
Akachukua advantage kuwa niko singo, naishi mbali na nyumbani ndo akaona aje kunilaghai...
Kile kibao kilimstua akili yake ikakaa sawa, hakurudia tena.