Binafsi nilicho jifunza toka Mbeya! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Binafsi nilicho jifunza toka Mbeya!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mgen, Nov 13, 2011.

 1. mgen

  mgen JF Bronze Member

  #1
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 13,941
  Likes Received: 1,391
  Trophy Points: 280
  Wana JF Nawasalimu na kuwatakia siku Njema yenye mafanikio.
  Kuna mengi niliyo jifunza kutokana na matatizo yaliyo tokea Mbeya baina ya serkali na Machinga. Machache kati ya mafundisho ni haya;
  1 Nguvu ya Umma haishindanishwi hata na cruise misile!
  2 Anaetaka kuwa kiongozi awe upande wa Nguvu ya Umma!
  3 Huwezi kwenda peponi bila kufa!
  4 Nguvu ya Umma ni Bahari, Dola, na vyombo vyake ni sawa na Samaki tu, samaki akijitenga na Bahari hawezi kuishi!
  5 Kuna wakati ili haki uipate Nguvu ya Umma inahitajika!
  6 Mwenzangu umejifunza nini!.
  7 Sina uhakika Serkali yetu kama imeona Dalili! Ngoja tuone!
   
 2. U

  Userne JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 895
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
   
 3. d

  december Member

  #3
  Nov 13, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nadhani magamba wameckia.
   
 4. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #4
  Nov 13, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,022
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  mchanganyiko wa wakinga wanyakyusa wanyiha na wasafwa ni sumu
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Magamba mmeipata hiyo ila kubadilika ngumu kwani sikio la kufa halisikii dawa
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  Nov 13, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,639
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  nilichojifunza binadamu humwelewa mtu wanaemwamini..
   
 7. mgen

  mgen JF Bronze Member

  #7
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 13,941
  Likes Received: 1,391
  Trophy Points: 280
  Mkuu, umesema! Maana Roho ya Umauti ikujiapo huwa Unafungwa kusikia na kuona unabakia kubwabwaja lugha za ajabu ajabu ambazo hueleweki, na kama ulikuwa mchawi utaanza kutaja ulio waloga!
   
 8. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #8
  Nov 13, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,830
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  CCM, kifo chenu kinakuja tena kibaya sana! mnataka kufanya upuuzi wenu wa kila siku KUCHAKACHUA! Katiba haichakachuliki jamani mjue hilo, hatutaki kuishi chini ya utawala wenu tena, mmetunyonya sana miaka yote hii, mmetuibia sana tuu sasa tunataka katiba mpya tujitawale wenyewe
   
 9. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #9
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 59,971
  Likes Received: 37,608
  Trophy Points: 280
  Nguvu ya umma haishindwi na lolote lile na ushahidi wa hili ni kule Misri, Tunisia na sasa kule Syria. Na kama magamba wasiposoma alama za nyakati na kubadili mwenendo wao na kuacha manyanyaso dhidi ya raia basi nina hakika kwamba nguvu ya umma wa Watanzania itaishinda nguvu ya dola na kuikomboa nchi yetu toka mikonono mwa mafisadi wa magamba.
   
 10. m

  maliyamungu JF-Expert Member

  #10
  Nov 13, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 464
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Lol! Nikuongezee wandali,wamalila, wote mbeya ni noma wanyiha wakiwa na hasira wanang'ata barabara ya lami kwa meno.
   
 11. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #11
  Nov 13, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,597
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Well said no addition, its my hope the m.kwere has heard
   
 12. mgen

  mgen JF Bronze Member

  #12
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 13,941
  Likes Received: 1,391
  Trophy Points: 280
  Mkuu, hapo kwenye KATIBA wakifanya mchezo wa kisanii ndipo BALAA litakapo anzia! Mbeya wameonyesha njia na wako standby.
   
 13. mgen

  mgen JF Bronze Member

  #13
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 13,941
  Likes Received: 1,391
  Trophy Points: 280
  Nahisi bado wako kwenye zama zile za kidumu chama cha mapinduzi! Kumbe ni kizazi kipya kilicho achana na mifano ya kishetani, eti ukiona mwenzio ananyolewa wewe tia maji! Leo kizazi hiki wanoa panga ili ukija mnyoa akasembue shingo. Kizazi hiki hawasubiri tena alie juu ashuke bali wanampandia au wanakata mti! Cha mvunguni hainami mtu bali wanabidua kitanda.......
   
 14. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #14
  Nov 13, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,531
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 0
  vijiti vinawasubiri!
   
 15. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #15
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,250
  Likes Received: 15,064
  Trophy Points: 280
  Aluta continua
   
 16. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #16
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,140
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Pia ndugu zetu wahehe.
   
 17. A

  Akiri JF-Expert Member

  #17
  Nov 14, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,430
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  mkuu ccm na dora yake ni sikio la kufa, sasa wanadai ile nguvu ya uma iliyooneshwa na watu wa mbeya eti ilipangwa muda mrefu na imeandaliwa na chadema.
   
 18. N

  Noboka JF-Expert Member

  #18
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 1,091
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Kwenye kudai haki maslahi ya vyama, dini, rangi, kabila hayana nafasi wanyonge wanashirikiana
   
 19. mgen

  mgen JF Bronze Member

  #19
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 13,941
  Likes Received: 1,391
  Trophy Points: 280
  Kweli mkuu! Hilo nalo ni fundisho kuu, Hakika nimeliona huko Mbeya! Waislamu, Wakristo, na wenye imani za jadi, na wasio na imani yeyote wote waliungana kwenye shida ile! Hapo ni fundisho kubwa kwa wale wote wanaozua kwamba kuna Udini! Dini haikuletei mkate wala pilau mezani!
   
 20. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #20
  Nov 14, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,228
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  ulikuwa mbeya? Sisi hatukuwa huko na vyombo vyetu vinatuonyesha taarifa za habari tu. Ila ndo hivyo. Nimejifunza kuwa suala si nguvu ya umma tu bali serikali ijenge miundombinu kwa kijana kuweza kuishi popote (kijijini ama mjini) aweze kujipatia riziki
   
Loading...