Binafsi nilicho jifunza toka Mbeya!

Binafsi nilicho jifunza toka Mbeya!

Muda wa magamba kuendeleza usanii wao kwa kujinufaisha kwa rasilimali za watanzania wao na familia /maswahiba wao unakwisha siku si nyingi
 
ulikuwa mbeya? Sisi hatukuwa huko na vyombo vyetu vinatuonyesha taarifa za habari tu. Ila ndo hivyo. Nimejifunza kuwa suala si nguvu ya umma tu bali serikali ijenge miundombinu kwa kijana kuweza kuishi popote (kijijini ama mjini) aweze kujipatia riziki

Mkuu, siijui unavyo itafsiri maana ya Nguvu ya Umma! Kilicho nishitua, kunishangaza, na kuogopa ni jinsi moto ulivyo waka ni kufumba na kufumbua! au kilipangwa, jiulize! na kama kilipangwa, naendelea kujiuliza jee! Intelegensia walikuwa likizo? Mkuu wa mkoa na uongozi wote wa mkoa na taifa hawakulifahamu? au kulikuwa na usaliti miongoni mwao! Ninaamini muda bado upo wakibadilika! La sivyo muda utasema.
 
nguvu ya umma kwa mtazamo wangu ni ile hali ya wananchi kuchukua maamuzi fulani dhidi ya hatima yao; iwe kisiasa, kiuchumi, kijamii, n.k. Kwa muktadha wako na kilichotokea mbeya, ile nguvu ya umma wala isingefikia pale kama niliyosema yangetimizwa.
 
Mkuu, Nimekuelewa! Na muda upo! WAACHE KULIMA KWA KIDOLE! Na sie wengine hatutachoka kuwakumbusha viongozi kushika nafasi zao, Kuwa na mawazo mapya, na kuboresha maisha ya wananchi, ili wasije kukumbuka shuka kumekucha!
 
Back
Top Bottom