Uliza swalikwhyo aina hiyo wanataka mapenzi tu?
Naona wewe unanifaa sana maana kwenye ela huwa nakua mgumu mpaka basiMe cwezag kabisa kuomba pesa
Me cwezag kabisa kuomba pesa
Mim babaangu anahustle sana kupata hela ya matumizi nyumbani namuonea huruma sana akiludi amechoka siku nyengine akose siku nyengine akipata n kidogo lakin bado anajitahid binti zake tuishi vizuri. Kaka zangu wanavuja jasho kwa nguvu kupata pesa ili wadogo zao tupate mahitaji. Kila nikiwaona hawa wanavyohangaika na kuumia najisemea moyoni kwanini ni muumize mwanaume mwengine kwa kumuomba pesa ambazo ni ngumu kupatikanika tena kwa vitu visivyo vya maana kama kusuka ,nguo sijui na vitu luxury. Naona hata aibu kuomba pesa na hata akinipa mwenyewe huwa najifikilia mara mbilimbili ni kweli na uhitaji na hizo pesa kama sina nitasema au kununua kitu chenye faida kwetu sote ili jasho lake lisiende bure. Maisha yamenifundisha kuwa na nidhamu na pesa aiseee.
Mshamba huyuuuKwani aliemleta duniani hayupo hadi akuombe wewe???
Kwanini mtu aombe hela? Mwanaume lazima ujue majukumu yako kwa mpenzi/mke wako bila kukumbushwa wala kuombwa
Muongo huyu mkuu usijichanganyewachache sana wanawake kama wewe, mwingine mnakutana tu kwenye magroup hapo hapo kirungu, sina vocha, sijui naumwa, ooh sijala nirushie japo elf 10, what is the f....k!! mtu hunijui tayari unaomba hela, kama upo hivyo kweli monica basi ubarikiwe
Hiyo umekariri weweTatizo mmekariri kuwa nyie majukumu yenu ni kugegedwa tu..................
Ahsante sana Ibn arab umetusaidia sana kumueleza Eddy Love juu ya tabia zetu. Mimi ni mmojawapo ninachohitaji ni mahusiano imara, uonyeshe unanijali, unanithamini na kuniheshimu, na pia dushe liwe la kueleweka na ujue kulitumia vema sio mambo ya kupump! ......ngoja ncheke mi mwenyewe kwanza.....😀😀😀😀.....haki ya nani mi hutonisikia kukupiga vibomu ila tu siku nikiwa na shida yangu imenikaba nitakueleza, unanivunjia wallet mambo yanaisha! Pia ruksa kunifikiria siku ukijisikia, na ikitokea hii huwa nafurahi coz najiskia kama napendwa hv, but kuomba hela kila baada ya game mmmmhhh sikuwahi kuiweza na sitaiweza asilani!!! (ilimradi uwe unazo sifa nilizozieleza hapo juu....coz such a person obviously anakua understanding). Ngoja niishie hapa!mkuu unaweza mpa pesa na bado akaomba kwingine hata vocha ya buku hii ni Tabia ,
kwahiyo hata kama haombi sio sababu ya kuhofia wengine ndivyo walivyoumbwa hawajazoea kuomba mpaka uwape au uwafikirie
Good dear, tupogo wengi, na mie nina aibu mambo ya kuomba hela kila mkitaka kukutana au eti kila baada ya game.......mmmmhhh unauza?!! Kuna tofauti gani ya kahaba na wewe unaejiita 'unajiheshimu?'.....kuutwaaa vibomu.....khaaaaaaa amua moja basi. kiukweli jambo hili linatufanya wanawake tujivunjie heshima! Sema ndio hivyo na mijanaume imekariri kuombwa pesa kila baada ya mgegedo!Wanawake tunatofautiana sana BT me binfs cpogo ivooo kabisaaa
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Nyie wa hivi ni wazuri ila shida ipo siku ukidondosha bomu. Huwa ni genuine case na huwa mzinga mkubwa. Utasikia " naomba niongezee kidogo school fees ya mtoto" au "nikopeshe nadaiwa kodi mwaka mzima, ntakurudishia"
Shida yao mshedede tu ee?Una matatizo tu kwa mawazo yako wanawake wengine shida yao sio pesa usikariri
Mbona wacheeeka? Wewe utakuwa ulishawahi kuombwa umkopeshe bebi hela ya kodi ya nyumba kwa ahadi ya "kurudishiwa"😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Huwa simwelewi kabisa mwanamke wa aina hii anataka nini kwa mwanaume, akisema anataka mapenzi tu najua tu huo ni uongo ni sawa na shetani akuambie bwana Yesu asifiwe unashindwa kuelewa uitikie ameni au umkemee.