Kumbe hujawahi kuonga mkuu..Kwani Kuchunwa Ni Nini Mkuu?
Hahahaaa... tunajaribu upendo maana huko moyoni unapaona mwenyewe.lets saya unafanyakazi unaomba nikununulie vocha wakati uwezo wa kununua unao hapo mnakuwa mnawajaribu wanaume ama?
Upendo Haujaribiwi Dada Kama Ukiona Kuna Uwezekano Wakuishi Na Huyo Mwanaume Ni Bora Mkaishi Pamoja Huku Taratibu Zikifuata
Lakini Jaribu Jaribu Yaweza Haribu Upendo Wako Maana Huwezi Jua Nafsi Mpenzi Wako Ikoje Mie Niliweza Kumjaribu Dada Moja Miezi 2 Iliyopita Kwakumpotezea Nione Je Kweli Ananipenda Basi Nilivyokaa Kimya Naye Akanipotezea Mazima Ila Kiukweli Nilipanga Kuwa Naye Kabisa Ila Jaribu Jaribu ImenicostHuko sasa umeenda mbali ila mimi si muumini wa hilo wazo lako. Mungu mwenyewe alimjaribu Ibrahim, na sisi pia ametuambia tumjaribu tuone kama hatatubariki.
Lakini Jaribu Jaribu Yaweza Haribu Upendo Wako Maana Huwezi Jua Nafsi Mpenzi Wako Ikoje Mie Niliweza Kumjaribu Dada Moja Miezi 2 Iliyopita Kwakumpotezea Nione Je Kweli Ananipenda Basi Nilivyokaa Kimya Naye Akanipotezea Mazima Ila Kiukweli Nilipanga Kuwa Naye Kabisa Ila Jaribu Jaribu ImenicostHuko sasa umeenda mbali ila mimi si muumini wa hilo wazo lako. Mungu mwenyewe alimjaribu Ibrahim, na sisi pia ametuambia tumjaribu tuone kama hatatubariki.
Waulize, wanawake mahitaji yao sio common, so usitumie njia zile zile ulizitumia kwa ex wako ukaapply kwa mwingine lazima ufel tuKwhyo Huwa Wanataka Nini Sasa?
NaweNaweza kukuomba hela ukanipa buku tano au msimbazi na usiku tumecheza wote ,hii so zarau ndo maana simwombag mwanaume hela maana najua hawez nipa hela ninayoitaka ,ndo maana natafuta hela niwe tajir ili nisinyanyaswe na vicenti vya mtu, hakuna raha kama unachako bwana ,ukijifanya bingwa nami bingwa ninazoHuwa simwelewi kabisa mwanamke wa aina hii anataka nini kwa mwanaume, akisema anataka mapenzi tu najua tu huo ni uongo ni sawa na shetani akuambie bwana Yesu asifiwe unashindwa kuelewa uitikie ameni au umkemee.
AiseeNaweNaweza kukuomba hela ukanipa buku tano au msimbazi na usiku tumecheza wote ,hii so zarau ndo maana simwombag mwanaume hela maana najua hawez nipa hela ninayoitaka ,ndo maana natafuta hela niwe tajir ili nisinyanyaswe na vicenti vya mtu, hakuna raha kama unachako bwana ,ukijifanya bingwa nami bingwa ninazo
mnapocheza wote unadhani nani anafaidika hapo? hivi buku 5 au 10 ni ndogo ukipewa ?????? labda utoke familia ya kitajiri lakini kama familia za chini hiyo hela utaithamini tuNaweNaweza kukuomba hela ukanipa buku tano au msimbazi na usiku tumecheza wote ,hii so zarau ndo maana simwombag mwanaume hela maana najua hawez nipa hela ninayoitaka ,ndo maana natafuta hela niwe tajir ili nisinyanyaswe na vicenti vya mtu, hakuna raha kama unachako bwana ,ukijifanya bingwa nami bingwa ninazo
Habar ndo hiyo,sipend ujinga kabisa, maan mapenz ya dhati hakuna,halaf nikose pesa tena ,ni heri uwe na pesa halaf ukose mapenz ya dhati maisha yanaenda,kuliko kukosa pesa,na mapenz ya dhati dunia utaiona chunguAisee
What? Hata haifikii hela yang ya vocha ? Ni heri usinipe tu nijue hauna pesa, bora nijue wew ni wa kucheza na mim tumnapocheza wote unadhani nani anafaidika hapo? hivi buku 5 au 10 ni ndogo ukipewa ?????? labda utoke familia ya kitajiri lakini kama familia za chini hiyo hela utaithamini tu
Haya ndugu.Habar ndo hiyo,sipend ujinga kabisa, maan mapenz ya dhati hakuna,halaf nikose pesa tena ,ni heri uwe na pesa halaf ukose mapenz ya dhati maisha yanaenda,kuliko kukosa pesa,na mapenz ya dhati dunia utaiona chungu
unawekaga kiasi gani vocha yako tuanzie hapo kwanza halafu hata ukimuweka mtu acheze nawewe tu it means umuweke king'astiWhat? Hata haifikii hela yang ya vocha ? Ni heri usinipe tu nijue hauna pesa, bora nijue wew ni wa kucheza na mim tu