Mie skatai niwengi sana wapo utabeba jukumu kana kwamba umeisha oa. Ila ni tabia ya mtu au makabila furani furani.wachache sana wanawake kama wewe, mwingine mnakutana tu kwenye magroup hapo hapo kirungu, sina vocha, sijui naumwa, ooh sijala nirushie japo elf 10, what is the f....k!! mtu hunijui tayari unaomba hela, kama upo hivyo kweli monica basi ubarikiwe
Tatizo sio kuwa na mabwawa wengi, kwani kuitwa mwanaume bila majukumu sio sifa bali majukumu kama unampenda na kumjali utaona uhitaji, hata mie siombi kwani nimekutwa najua kutafuta mwenyewe.kwhyo mnapokuwa na mabwana wengi mnafaidika?
majukumu yapi unayoyazungumzia? labda muwe mmeoana lakini kama kila mtu yuko kivyake vyake hapo hakuna majukumuTatizo sio kuwa na mabwawa wengi, kwani kuitwa mwanaume bila majukumu sio sifa bali majukumu kama unampenda na kumjali utaona uhitaji, hata mie siombi kwani nimekutwa najua kutafuta mwenyewe.
Kumbe mkuu inaonesha umezoea kuchunwa ww... yaan ni mwendo wa kuonga kwa kwenda mbeleHuwa simwelewi kabisa mwanamke wa aina hii anataka nini kwa mwanaume, akisema anataka mapenzi tu najua tu huo ni uongo ni sawa na shetani akuambie bwana Yesu asifiwe unashindwa kuelewa uitikie ameni au umkemee.
Wewe huwa unatoa bila kuombwa?Kwann usubiri had uombwe?,wanawake wengine wanaona aibu kuomba