Safari ya mamba keng'e wamo. Missing you.ata mm siwezi kuomba hela na ikitokea jua kweli nimeshikwa
Una miaka mingap???Mim babaangu anahustle sana kupata hela ya matumizi nyumbani namuonea huruma sana akiludi amechoka siku nyengine akose siku nyengine akipata n kidogo lakin bado anajitahid binti zake tuishi vizuri. Kaka zangu wanavuja jasho kwa nguvu kupata pesa ili wadogo zao tupate mahitaji. Kila nikiwaona hawa wanavyohangaika na kuumia najisemea moyoni kwanini ni muumize mwanaume mwengine kwa kumuomba pesa ambazo ni ngumu kupatikanika tena kwa vitu visivyo vya maana kama kusuka ,nguo sijui na vitu luxury. Naona hata aibu kuomba pesa na hata akinipa mwenyewe huwa najifikilia mara mbilimbili ni kweli na uhitaji na hizo pesa kama sina nitasema au kununua kitu chenye faida kwetu sote ili jasho lake lisiende bure. Maisha yamenifundisha kuwa na nidhamu na pesa aiseee.
Wanawake kama nyenye ndo wasumbuf na maneno yenu ya kuficha makuchaDaaaah yaan ni kitu kigumu sana kwangu kumuomba MTU pesa hususan MTU nliyenaye kwenye mahusiano,nikifikia hata ya kukuomba yaan ujue kweli nimebanwaaa kishenz
wachache sana wanawake kama wewe, mwingine mnakutana tu kwenye magroup hapo hapo kirungu, sina vocha, sijui naumwa, ooh sijala nirushie japo elf 10, what is the f....k!! mtu hunijui tayari unaomba hela, kama upo hivyo kweli monica basi ubarikiwe
Nakubaliana na wewe,,,, umpe usimpe hana wasiwasii,, yupo tayari kuishi aina ya maisha yoyotemkuu unaweza mpa pesa na bado akaomba kwingine hata vocha ya buku hii ni Tabia ,
kwahiyo hata kama haombi sio sababu ya kuhofia wengine ndivyo walivyoumbwa hawajazoea kuomba mpaka uwape au uwafikirie
sio mawazo yako ndio mabayahuenda mna nia mbaya
Naomba tuwe marafiki/wachumba please!Me cwezag kabisa kuomba pesa
Daaaah iv unafikiria icho kitu cha masihala masihala??Naomba tuwe marafiki/wachumba please!
Kwa hiyo rafiki zile wine huwa unakunywa kwa hela yako pekee?[emoji30]ata mm siwezi kuomba hela na ikitokea jua kweli nimeshikwa
[emoji13] [emoji13] [emoji87] [emoji87] [emoji109]Huwa simwelewi kabisa mwanamke wa aina hii anataka nini kwa mwanaume, akisema anataka mapenzi tu najua tu huo ni uongo ni sawa na shetani akuambie bwana Yesu asifiwe unashindwa kuelewa uitikie ameni au umkemee.